Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

Yaani upepo unakopiga nawe hukohuko unaelekea. Hoja zako zote hazikuwa na mlengo huu. Ila ni vyema kama umeamua kuwa upande wetu
Wewe ni zao la elimu yetu. Hujui kusoma kwa ufahamu bali unakimbilia kujibu. Najua wabongo wengi wako hivi hivyo sikulaumu bali namlaumu huyo aliyeharibu elimu yetu. Eti mtu anakuja na hoja kuwa fulani anajua kiingereza cha ki-injinia tu au anajua cha kuandika tu ila cha kuzungumza kinampa shida. Studying should focus on understanding because true learning happens when students grasp the concepts, not just memorize answers. When students understand a topic, they can apply it in different situations, solve real-world problems, and retain the knowledge long-term.
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Mbona mimi ni Prof niliyesoma Russia sijui lugha ya malkia.
 
Kama ulisoma Russia kwa kutumia kirusi, una haki ya kutojua lugha ya malkia. Profesa Ndalichako alisoma huko Russia nini? Mlisoma naye? Alituvunja mbavu siku aliposema ''put them inside'' akimaanisha waweke ndani (rumande). Hii ni kali sana Profesa Ngongo. la pengine kwa sababu mlisoma Russia, tutawasamehe.
 
Nilikuwa naye darasa moja sema hakuwa na akili kama mimi.
 
Sijui. Naomba unieleze.
Professor Sarungi alipewa uprofesa kwa mchango wake mkubwa katika tiba, elimu na uongozi. Alikuwa daktari bingwa wa upasuaji aliyefundisha katika Chuo Kikuu cha Dar (Hii hakufundishwa popote), akawa mkuu wa idara, na Mkurugenzi wa Muhimbili. Pia alihudumu kama waziri katika sekta mbalimbali. Utaalamu, uzoefu na huduma kwa taifa vilimpa hadhi hiyo.
 
Hii ni noma. Ila kiingereza si anakijua?
Kama hajui alimtongoza vipi mama yake Maria ambaye hakuwa raia wa Tanzania.
 
Kwamba kipimo cha kuwa profesa ni kujua kiniingereza.....wacha tuendelee kutawaliwa
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Kingereza ndio kipimo cha elimu?

Jamaa akili zenu zipo wapi?
 
Back
Top Bottom