Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

Wewe ni zao la elimu yetu. Hujui kusoma kwa ufahamu bali unakimbilia kujibu. Najua wabongo wengi wako hivi hivyo sikulaumu bali namlaumu huyo aliyeharibu elimu yetu. Eti mtu anakuja na hoja kuwa fulani anajua kiingereza cha ki-injinia tu au anajua cha kuandika tu ila cha kuzungumza kinampa shida. Studying should focus on understanding because true learning happens when students grasp the concepts, not just memorize answers. When students understand a topic, they can apply it in different situations, solve real-world problems, and retain the knowledge long-term.
You contradict yourself if learning focuses on understanding then the hell is your obsession with language proficiency coming from? E=mc² will be that way regardless you explain it in broken or perfect English
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.

Utumwa tu na kukosa exposure, kuna kampun nimewah kufanya kazi boss n mgerman na hajui kingereza kama venye mim nilikuw sijui. Lakin alikuw ni Dr. Kabisa.
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Imeanza lipi kingereza kuwa kipimo cha taaluma ya mtu
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Utakua unamsema dada mmoja mkali wa calculus kiboko ya wachina wazembe.
 
Hili nalo wanangu kaeni mlitazame muone nini mtafanya.​
 
You contradict yourself if learning focuses on understanding then the hell is your obsession with language proficiency coming from? E=mc² will be that way regardless you explain it in broken or perfect English
Could you just write in Kiswahili? You are making yourself look like a fool. Ngoja nikurudishe kwenye kiswahili maana naona unapata tabu. Hivi unaweza kuelewa somo kama hujui lugha unayotumia? Huoni utaishia kwenye hiyo hiyo circle ambayo wewe na wabongo wengi wamejifungia ya kukariri? Kwenye wewe ni boya!
 
Ungekuwa umesoma masomo ya sayansi usingehoji utopolo kama huu
China kuna ma professor wanajua kingereza?
Tofautisha taaluma na Lugha
Angekuwa ni proffesor wa lugha au fasihi ya kingereza swali lako lingekuwa na mashiko
Hivi mtu ni proffesor wa mechanical engineering lugha kwake ni kitu gani
ni proffesor wa Kemia weledi wa lugha wa kazi gani hivi yale mahesabu ya intergration na Schrodinger equation yanahitaji lugha?.
Hivi yale mahesabu ya statistical mechanics mambo ya canonical ensemble yanahitaji lugha?
Hivi somo la relativistic mechanics kusoma mambo ya Albert Eistein yanahitaji lugha?
Proffesor Albert Eistein mwenyewe alivyotoroka ujerumani kuogopa kuwawa na Hitler kwenda Marekani alkuwa kingereza chake sio kizuri sana.
Wewe una vinasaba vya Kenya au ule mkoa wa kina nshomile acheni kasumba za hovyo
mbona ma proffesor wa wazungu hawajui kiswahili
 
Mleta mada ana hoja asikiizwe. HAIWEZEKANI USOME KIINGLISH TOKA UKIWA DARASA LA 3 HADI LEVO YA UDOKTA AU PhD halafu ni mbongo na et hujui hiyo lugha mleta mada usikilizweee
Nani bongo anasoma proper English may be watoto wa English medium
 
Could you just write in Kiswahili? You are making yourself look like a fool. Ngoja nikurudishe kwenye kiswahili maana naona unapata tabu. Hivi unaweza kuelewa somo kama hujui lugha unayotumia? Huoni utaishia kwenye hiyo hiyo circle ambayo wewe na wabongo wengi wamejifungia ya kukariri? Kwenye wewe ni boya!
You drew the first blood I just paid you in kind returned fire for fire putting you in your right place. Ulishindwa kuandika kiswahili hizo learning na understanding zako, im telling you i can see through the writings wewe huna tofauti na maprofesa wetu unaowaponda huna haja ya kuwapopoa wakati ukipewa podium dk 5 uongee kiingereza tupu utajambiana tu.
 
The fool who claims he knows it all,
Builds walls too high, destined to fall.
Closed to lessons, blind to light,
He stumbles on, ignoring sight.
True wisdom starts when pride lets go,
And opens doors the fool won’t know.
For those who learn admit they’re small
The wisest listen after all.
 
Kiingereza kizuri umeandika chagua tukupe uprofesa wa nini sasa miamba, uhandisi mitambo, uhandisi umeme, uchumi ama kilimo? Tumepata kipimo cha kiingereza cha uprofesa toka kwako
 
Mleta mada bwana, sio kiingereza tu, hata proffesio zao maprof wengine hawazijui, mbona mfano wake ni wa siku ya jana.
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Wewe nawe unakariri kuna naprofessor wa kirusi hawajui kiingereza wapo wa kifaransa hwajui kiingereza na wapo pia wakijerumani hawajui pia kiingereza na wakichina pia hawajui kiingereza
Kujua kingereza sio usomi by the way unakuta huyo unaemsema anajua sana written english ila hana matamshi mazur
 
Back
Top Bottom