macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Wewe ni zao la elimu yetu. Hujui kusoma kwa ufahamu bali unakimbilia kujibu. Najua wabongo wengi wako hivi hivyo sikulaumu bali namlaumu huyo aliyeharibu elimu yetu. Eti mtu anakuja na hoja kuwa fulani anajua kiingereza cha ki-injinia tu au anajua cha kuandika tu ila cha kuzungumza kinampa shida. Studying should focus on understanding because true learning happens when students grasp the concepts, not just memorize answers. When students understand a topic, they can apply it in different situations, solve real-world problems, and retain the knowledge long-term.Yaani upepo unakopiga nawe hukohuko unaelekea. Hoja zako zote hazikuwa na mlengo huu. Ila ni vyema kama umeamua kuwa upande wetu
Mbona mimi ni Prof niliyesoma Russia sijui lugha ya malkia.Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Kama ulisoma Russia kwa kutumia kirusi, una haki ya kutojua lugha ya malkia. Profesa Ndalichako alisoma huko Russia nini? Mlisoma naye? Alituvunja mbavu siku aliposema ''put them inside'' akimaanisha waweke ndani (rumande). Hii ni kali sana Profesa Ngongo. la pengine kwa sababu mlisoma Russia, tutawasamehe.Mbona mimi ni Prof niliyesoma Russia sijui lugha ya malkia.
Nilikuwa naye darasa moja sema hakuwa na akili kama mimi.Kama ulisoma Russia kwa kutumia kirusi, una haki ya kutojua lugha ya malkia. Profesa Ndalichako alisoma huko Russia nini? Mlisoma naye? Alituvunja mbavu siku aliposema ''put them inside'' akimaanisha waweke ndani (rumande). Hii ni kali sana Profesa Ngongo. la pengine kwa sababu mlisoma Russia, tutawasamehe.
Hebu mrekebishe prof Ndalichako kwa faida ya wasomaji mkuu. Alitakiwa asemeje?put them inside
Alikuwa prof. Pasipo kwenda shule za sekondari na elimu za juu. Unajua Kwanini alipewa uprofesa ?Hapana, alikuwa anafanya nini?
Sijui. Naomba unieleze.Alikuwa prof. Pasipo kwenda shule za sekondari na elimu za juu. Unajua Kwanini alipewa uprofesa ?
Professor Sarungi alipewa uprofesa kwa mchango wake mkubwa katika tiba, elimu na uongozi. Alikuwa daktari bingwa wa upasuaji aliyefundisha katika Chuo Kikuu cha Dar (Hii hakufundishwa popote), akawa mkuu wa idara, na Mkurugenzi wa Muhimbili. Pia alihudumu kama waziri katika sekta mbalimbali. Utaalamu, uzoefu na huduma kwa taifa vilimpa hadhi hiyo.Sijui. Naomba unieleze.
Hii ni noma. Ila kiingereza si anakijua?Professor Sarungi alipewa uprofesa kwa mchango wake mkubwa katika tiba, elimu na uongozi. Alikuwa daktari bingwa wa upasuaji aliyefundisha katika Chuo Kikuu cha Dar (Hii hakufundishwa popote), akawa mkuu wa idara, na Mkurugenzi wa Muhimbili. Pia alihudumu kama waziri katika sekta mbalimbali. Utaalamu, uzoefu na huduma kwa taifa vilimpa hadhi hiyo.
Kingereza kakijua baada ya kupewa uprofesaHii ni noma. Ila kiingereza si anakijua?
Kama hajui alimtongoza vipi mama yake Maria ambaye hakuwa raia wa Tanzania.
Mama yake Maria alimpata akiwa tayari amekijua kiingereza au kabla.Kingereza kakijua baada ya kupewa uprofesa
Ukitaka kutafsiri kiingereza neno kwa neno utakwama. Hata angesema ''Arrest them'' ingeeleweka. Infact kuna namna nyingi sana ya kusema. Hata ''put them in custody'' inakubalika.Hebu mrekebishe prof Ndalichako kwa faida ya wasomaji mkuu. Alitakiwa asemeje?
Unajua kipi kinajadiliwa hapa?Mama yake Maria alimpata akiwa tayari amekijua kiingereza au kabla.
Hapa nimeshapata neno la kuwatishia watu wa mtaa wangu.Ukitaka kutafsiri kiingereza neno kwa neno utakwama. Hata angesema ''Arrest them'' ingeeleweka. Infact kuna namna nyingi sana ya kusema. Hata ''put them in custody'' inakubalika.
Kidogo kidogo nilikuwa nakupeleka kwenye mada ya kusakata mbususu lakini isivyo bahati umeshtuka mapema😅.Unajua kipi kinajadiliwa hapa?
Vijana wa hovyo 😂Kidogo kidogo nilikuwa nakupeleka kwenye mada ya kusakata mbususu lakini isivyo bahati umeshtuka mapema😅.
Kingereza ndio kipimo cha elimu?Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.