Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Kiingereza ni lugha kama lugha nyingine tu na hakina uhusiano na kusoma
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka

Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Kwani wewe ni mwalimu wa somo gani Literature form 3B au? Karine hii unalingia na kujidai kwa lugha za kigeni? Kama siyo ulimbukeni ni nini!. Tunachoangali ni nini ulichonacho kichwani. Mawazo na fikra ya tafiti zako ulizofanya zinafaida gani kwa jamii na taifa lako. PhD hazipimwi kwa kuongea kingereza kizuri. Angalia statistics ya nchi zinazoongoza kwa tafiti nyingi dunia utakuta ni China na India ndiyo zinaongoza ambazo english zao ni za kuungaunga.
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
kiingereza kibovu si kitu mbele ya kiswahili fasaha gentleman?

na utumwa sio ufahari hata kidogo :pulpTRAVOLTA:
 
Kiingereza ni lugha kama lugha nyingine tu na hakina uhusiano na kusoma
Lugha ambayo umeitumia kwa miaka kadhaa kama ndo lugha ya kielimu.kwa kuandika kuisoma na kuiongea si rahisi ukawa huijui kabisaaa
 
Wachina wanasoma kwa kichina, Wajerumani kwa lugha yao, n.k
Bongo tunasoma Kwa kiingereza miaka na miaka. Hatuwezi washangaa wachina, tunapaswa kujishangaa.

Professor kasoma Form 1 mpaka 6 kwa kiingereza, bachelor miaka kadhaa kwa kiingereza, kafanya assignments, presentations na mitihani kwa kiingereza, masters mpaka PhD, kote Kiingereza-na kote amefaulu.
Alifaulu vipi kama hajui kiingereza?
Professor wa Tanzania kutokujua English inatupa maswali.
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Kwahiyo elimu ya mtu hupimwa kwa kuongea kingereza??
 
Watu wengi wanasahau kuwa kiingereza ni lugha na ndio maana hata usipoenda shule kabisa unaweza ukakiongea vizuri tu, nadhani tungeshangaana au kuchekana kwa upande wa kiingereza kama somo na sio kama lugha katika kukiongea.
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Wewe hapo ndo kiazi siku ukipata akili utakuja jua kuwa umeandika utumbo
 
Ona huyu mbumbumbu bado anajua kuongea kiingereza ndio Elimu. Watu wa aina hii ndio mtaji mkubwa wa Braza K
So tuassume kwamba kutokujua english ndio elimu ili tukuridhishe hapo ulongoni? Hawa ndo wanasign mikataba serious baadaye mnakuja kutukana elimu, kuwa profesa wa kiswahili hakuhalalishi kuwe mjinga na mpumbavu usiyejua lugha zingine, after all degree za kiswahili huko Uni zinafundishwa in English yeye lisomaje akaalewa?
 
Kwani wewe ni mwalimu wa somo gani Literature form 3B au? Karine hii unalingia na kujidai kwa lugha za kigeni? Kama siyo ulimbukeni ni nini!. Tunachoangali ni nini ulichonacho kichwani. Mawazo na fikra ya tafiti zako ulizofanya zinafaida gani kwa jamii na taifa lako. PhD hazipimwi kwa kuongea kingereza kizuri. Angalia statistics ya nchi zinazoongoza kwa tafiti nyingi dunia utakuta ni China na India ndiyo zinaongoza ambazo english zao ni za kuungaunga.
umesema vema "PhD hazipimwi kwa kuongea kingereza kizuri" taaluma yoyote haipimwi kwa umahili wa kuongea lugha uliyoisomea hiyo taaluma. Unapimwa kwa weledi wa matendo ya taaluma uliyosomea. WAZUNGU WANATUSHANGAA SANA TUNAVYOHANGIKA KUJARIBU KUONYESHA UMAHIRI WETU WA KUONGEA NGELI, huo si ujanja
 
Wachina wanasoma kwa kichina, Wajerumani kwa lugha yao, n.k
Bongo tunasoma Kwa kiingereza miaka na miaka. Hatuwezi washangaa wachina, inapswa tujishangae.

Professor kasoma Form 1 mpaka 6 kwa kiingereza, bachelor miaka kadhaa kwa kiingereza, kafanya assignments, presentations na mitihani kwa kiingereza, masters moka PhD yote Kiingereza-na kote amefaulu.
Alifaulu vipi kama hajui kiingereza?
Professor wa Tanzania kutokujua English inatupa maswali.
Kwanza MTZ, wa kawaida anajua lugha kuanzia mbili.

  • Lugha ya kabila lake
  • Kiswahili

Akienda shule anajifunza lugha ya 3, English.

Ulaya na Marekani 98% ya wazungu wanazungumza lugha moja tu, English.
 
Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!

Kwani maprofesa wa Uingereza wanajui Kiswahili!
Inatakiwa ujitazame wewe na elimu yako kwanza kw kushindwa kutofautisha kuwa professor na lugha ya kiingereza
Jambo la kuhoji hapo ni iwapo uprofesa wake ni halali ama la.

Kutojua kwake Inglishi hakuna uhusiano wowote na uprofesa wake.
Akili yako ndo ya kupima! Umewahi kufanya utafiti kujua ni wanazuoni wangapi wa kiwango cha ubobezi ambao wanatoka katika mataifa ambayo kiingereza si lugha yao mama na bado wakafanikiwa sana kwenye maeneo yao ya umahiri? Amka dude..kiingereza ni lugha tu kama kimakua,kindali na kisambaa
Atakuwa amesoma takribani miaka 15 kupitia lugha ya kiingereza(Kuanzia sekondari).

PhD wanahitaji kiingereza(tena kizuri) kwenye kufanya, kuwasilisha na kutetea tafiti.

Tena wanafundishwa matumizi ya lugha kitaaluma.

Kwa kweli hili ni tatizo.

Labda kama hakutumia kiingereza kusoma tokea sekondari.
 
umesema vema "PhD hazipimwi kwa kuongea kingereza kizuri" taaluma yoyote haipimwi kwa umahili wa kuongea lugha uliyoisomea hiyo taaluma. Unapimwa kwa weledi wa matendo ya taaluma uliyosomea. WAZUNGU WANATUSHANGAA SANA TUNAVYOHANGIKA KUJARIBU KUONYESHA UMAHIRI WETU WA KUONGEA NGELI, huo si ujanja
Lugha ipi aliyosomea.

Hajasomea lugha.

Amesomea Medicine.

Tukileta hapa Mwarabu, anayezungumza Kiarabu akufundishe kuendesha gari.

Mwisho wa masomo Unatakiwa ujue Kuendesha gari au ujue kuzungumza Kiarabu???
 
Lugha ambayo umeitumia kwa miaka kadhaa kama ndo lugha ya kielimu.kwa kuandika kuisoma na kuiongea si rahisi ukawa huijui kabisaaa
Suala la kutokuijua kabisa hilo haliwezekani, kutumia lugha fulani kwenye masomo yako tu haitoshi haitoshi kufanya kuweza kuongea kiufasaha lugha hiyo.
 
Mnaleta uharo tu kujustify ujinga, profesa hata awe wa kiswahili anaprofess nini sasa kama hajui lugha zingine za kimataifa? Ujinga tu umetukalia kutafuta sababu za kujitetea kulinda upumbavu wetu! So kama ni profesa wa kiswahili akikutana na profesa wa English akajifiche chooni? Na hayo malinguistics na masemantics anajifunza kutoka kwa msukuma (Mb) then afundishe watoto wetu? Kweli ujinga mzigo mkubwa sana na uapodomia hautatuacha (Mtikila C., N.D)
Kiswahili ni lugha ambayo haitoshelezi ndio maana hatutumii kufundishia sekondari na chuo. Hata shule ya msingi tunafosi tu.
 
Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajui Kiswahili!
Naona umeumia kweli kweli Truth Matters au siyo...

There are about 80,000,000 (milioni themanini) who speak Kiswahili either natively or as a second language.
Miongoni mwa hawa Watanzania peke yao ni zaidi ya nusu.

There over over 1,500,000,000 (bilioni moja na nusu) people worldwide who speak English either natively or as a second language.

Lugha inayofuata kwa karibu ni Kichina kinachoongelewa na watu karibu 1,1000,000,000 (bilioni moja na milioni mia moja)

Baba wa Taifa aliwahi kusema hivi,
kwa namna ile ile Kiswahili ndiyo lugha ya Watanzania, Kiingereza ndiyo lugha ya dunia.

Kama sehemu ya dunia yatubidi tuijue Kiingereza! Kwa sasa lugha rasmi Tanzania ni mbili tu Kiswahili na Kiingereza. Kama yupo Professa asiyemanya Kiingereza, huo uprofesa ni wa wasi wasi au siyo ndugu zangu?
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Hivu kuwa profesooo ni lazima ujue kiingereza? Huko Uingereza kwenyewe kuna wajinga wanaowaza kama wewe wanaongea kiingereza na hawajasoma hata darasa moja.

Kuna maprofesoo huko Ufaransa wanaongea kifaransa hawajui kiingereza

Kuna maprofesoo Ujerumani, Urusi, Hispania na hata Uchina na Japan hawajui kuongea kiingereza.

Komboa akili yako, toka kwenye utumwa wa akili itakusaidia maishani.
 
Back
Top Bottom