Naona umeumia kweli kweli
Truth Matters au siyo...
There are about
80,000,000 (milioni themanini) who speak Kiswahili either natively or as a second language.
Miongoni mwa hawa Watanzania peke yao ni zaidi ya nusu.
There over over
1,500,000,000 (bilioni moja na nusu) people worldwide who speak English either natively or as a second language.
Lugha inayofuata kwa karibu ni Kichina kinachoongelewa na watu karibu
1,1000,000,000 (bilioni moja na milioni mia moja)
Baba wa Taifa aliwahi kusema hivi, kwa namna ile ile
Kiswahili ndiyo lugha ya Watanzania, Kiingereza ndiyo lugha ya dunia.
Kama sehemu ya dunia yatubidi tuijue Kiingereza! Kwa sasa lugha rasmi Tanzania ni mbili tu
Kiswahili na
Kiingereza. Kama yupo Professa asiyemanya Kiingereza, huo uprofesa ni wa wasi wasi au siyo ndugu zangu?