Kiingereza ni lugha kama lugha nyingine tu na hakina uhusiano na kusomaKuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
sarungi english illishia sekondari, huko akasoma kwa lugha za wenjeji wa ulaya mashariki, mwisho wa siku hawezi kuwa na proficiency nzuri kwa lugha zooote anazozifahamu/alizozipitiaMtoa mada ulishamshuhudia Marehemu Prof. Sarungi?
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka
Kwani wewe ni mwalimu wa somo gani Literature form 3B au? Karine hii unalingia na kujidai kwa lugha za kigeni? Kama siyo ulimbukeni ni nini!. Tunachoangali ni nini ulichonacho kichwani. Mawazo na fikra ya tafiti zako ulizofanya zinafaida gani kwa jamii na taifa lako. PhD hazipimwi kwa kuongea kingereza kizuri. Angalia statistics ya nchi zinazoongoza kwa tafiti nyingi dunia utakuta ni China na India ndiyo zinaongoza ambazo english zao ni za kuungaunga.Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
kiingereza kibovu si kitu mbele ya kiswahili fasaha gentleman?Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Lugha ambayo umeitumia kwa miaka kadhaa kama ndo lugha ya kielimu.kwa kuandika kuisoma na kuiongea si rahisi ukawa huijui kabisaaaKiingereza ni lugha kama lugha nyingine tu na hakina uhusiano na kusoma
huyu ubongo wake unatakiwa ufanyiwe culture kwa siku 7, then tuangalie aina ya wadudu walio kwenye huo ubongoKiukweli Elimu itazame upya kwa kuzalisha malimbukeni kama wewe.
Kwahiyo elimu ya mtu hupimwa kwa kuongea kingereza??Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Wewe hapo ndo kiazi siku ukipata akili utakuja jua kuwa umeandika utumboKuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
So tuassume kwamba kutokujua english ndio elimu ili tukuridhishe hapo ulongoni? Hawa ndo wanasign mikataba serious baadaye mnakuja kutukana elimu, kuwa profesa wa kiswahili hakuhalalishi kuwe mjinga na mpumbavu usiyejua lugha zingine, after all degree za kiswahili huko Uni zinafundishwa in English yeye lisomaje akaalewa?Ona huyu mbumbumbu bado anajua kuongea kiingereza ndio Elimu. Watu wa aina hii ndio mtaji mkubwa wa Braza K
umesema vema "PhD hazipimwi kwa kuongea kingereza kizuri" taaluma yoyote haipimwi kwa umahili wa kuongea lugha uliyoisomea hiyo taaluma. Unapimwa kwa weledi wa matendo ya taaluma uliyosomea. WAZUNGU WANATUSHANGAA SANA TUNAVYOHANGIKA KUJARIBU KUONYESHA UMAHIRI WETU WA KUONGEA NGELI, huo si ujanjaKwani wewe ni mwalimu wa somo gani Literature form 3B au? Karine hii unalingia na kujidai kwa lugha za kigeni? Kama siyo ulimbukeni ni nini!. Tunachoangali ni nini ulichonacho kichwani. Mawazo na fikra ya tafiti zako ulizofanya zinafaida gani kwa jamii na taifa lako. PhD hazipimwi kwa kuongea kingereza kizuri. Angalia statistics ya nchi zinazoongoza kwa tafiti nyingi dunia utakuta ni China na India ndiyo zinaongoza ambazo english zao ni za kuungaunga.
Kwanza MTZ, wa kawaida anajua lugha kuanzia mbili.Wachina wanasoma kwa kichina, Wajerumani kwa lugha yao, n.k
Bongo tunasoma Kwa kiingereza miaka na miaka. Hatuwezi washangaa wachina, inapswa tujishangae.
Professor kasoma Form 1 mpaka 6 kwa kiingereza, bachelor miaka kadhaa kwa kiingereza, kafanya assignments, presentations na mitihani kwa kiingereza, masters moka PhD yote Kiingereza-na kote amefaulu.
Alifaulu vipi kama hajui kiingereza?
Professor wa Tanzania kutokujua English inatupa maswali.
Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajui Kiswahili!
Inatakiwa ujitazame wewe na elimu yako kwanza kw kushindwa kutofautisha kuwa professor na lugha ya kiingereza
Jambo la kuhoji hapo ni iwapo uprofesa wake ni halali ama la.
Kutojua kwake Inglishi hakuna uhusiano wowote na uprofesa wake.
Atakuwa amesoma takribani miaka 15 kupitia lugha ya kiingereza(Kuanzia sekondari).Akili yako ndo ya kupima! Umewahi kufanya utafiti kujua ni wanazuoni wangapi wa kiwango cha ubobezi ambao wanatoka katika mataifa ambayo kiingereza si lugha yao mama na bado wakafanikiwa sana kwenye maeneo yao ya umahiri? Amka dude..kiingereza ni lugha tu kama kimakua,kindali na kisambaa
Lugha ipi aliyosomea.umesema vema "PhD hazipimwi kwa kuongea kingereza kizuri" taaluma yoyote haipimwi kwa umahili wa kuongea lugha uliyoisomea hiyo taaluma. Unapimwa kwa weledi wa matendo ya taaluma uliyosomea. WAZUNGU WANATUSHANGAA SANA TUNAVYOHANGIKA KUJARIBU KUONYESHA UMAHIRI WETU WA KUONGEA NGELI, huo si ujanja
Suala la kutokuijua kabisa hilo haliwezekani, kutumia lugha fulani kwenye masomo yako tu haitoshi haitoshi kufanya kuweza kuongea kiufasaha lugha hiyo.Lugha ambayo umeitumia kwa miaka kadhaa kama ndo lugha ya kielimu.kwa kuandika kuisoma na kuiongea si rahisi ukawa huijui kabisaaa
Kiswahili ni lugha ambayo haitoshelezi ndio maana hatutumii kufundishia sekondari na chuo. Hata shule ya msingi tunafosi tu.Mnaleta uharo tu kujustify ujinga, profesa hata awe wa kiswahili anaprofess nini sasa kama hajui lugha zingine za kimataifa? Ujinga tu umetukalia kutafuta sababu za kujitetea kulinda upumbavu wetu! So kama ni profesa wa kiswahili akikutana na profesa wa English akajifiche chooni? Na hayo malinguistics na masemantics anajifunza kutoka kwa msukuma (Mb) then afundishe watoto wetu? Kweli ujinga mzigo mkubwa sana na uapodomia hautatuacha (Mtikila C., N.D)
Naona umeumia kweli kweli Truth Matters au siyo...Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajui Kiswahili!
Hivu kuwa profesooo ni lazima ujue kiingereza? Huko Uingereza kwenyewe kuna wajinga wanaowaza kama wewe wanaongea kiingereza na hawajasoma hata darasa moja.Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Kwani lugha ya kufundishia Uingereza ni Kiswahili? 😳😳😳Kwani maprofesa wa Uingereza wanajui Kiswahili?