Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

This is not an IAAF record.

Sasa hata ukisema uwaamini IAAF, wao wenyewe hawaitambui hii kama world record.

Unaelewa hilo?
Hawaitambui but wamesema ni record mpya. So who are you to dispute it?
 
Sasawa mr. Vi emoji..
Haya rudi kwenye mada...
Manake kw kupenda mipasho, hujambo..
Thread zote unazo comment 99% huaga upo nje ya mada
Bora kutumia viimoji kuliko kutukana bila sababu,
Wanaotoa dozi wakiitwa na wewe utatoka kweli,
Acha matusi au tumia tafsida kama sisi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jibu swali jomba...je wale wanaokimbia nyuma wa wenzao tusemeje?
Manake kulingna na logic yako uliyoiokota CNN..waliopo mbele yake walizuia baridi..

Sasa mbna wale hukaa nyuma ya wenzao hawshindi marathon km kigezo ni baridi..
NO HUMAN IS LIMITED
Waliokimbia nyuma ya wenzao walipangwa mahsusi kupata advantage ya kukingwa dhidi ya upepo?

Kwa nini hizi mbio hazitambuliwi kama sehemu ya records za any recognized international body of athletics?
 
Hawaitambui but wamesema ni record mpya. So who are you to dispute it?
Rekodi mpya ya nini?

Hata wewe unaweza kuweka rekodi mpya ya kunya.

What is the difference between what Kipchoge did and doping?
 
Huku Bongo sipati Picha yaani CCM nazani wakina Polepole wangekuwa kila Dakika wanafanya Press na kusema huyo anaiwakilisha CCM.

Sijasikia Mkenya akisema eliud kipchoge anawakilisha chama fulani.

CCM jifunzeni kutoka kwa Eliud kipchoge. Pale anawakilisha nchi sio Chama
Hahaa mavuvuzela wa ccm ungesikia wakisema ni juhudi za rais...wakti kenyata kampa 60m KSH kama zawadi ingekua jiwe angempa 10m na kiwanja burigi
 
Mbna unakwepa swali...hv ushaona marathon watu wanavyokimbia katika kundi la kwanza..its either watatu au wanne mbele then km wawaili wanakua nyuma for more than 30km ya mbio huaga hawabanduki nyuma yao...
So kulingana na logic yako mtu akikingwa asipigwe na upepo ndio ana uwezo wa ku make it...so mbna wanaokua nyuma hawashindi na kun watu wanapasua upepo?
Waliokimbia nyuma ya wenzao walipangwa mahsusi kupata advantage ya kukingwa dhidi ya upepo?

Kwa nini hizi mbio hazitambuliwi kama sehemu ya records za any recognized international body of athletics?
 
Kawaulize hao IAAF walio post...manake wametoa hongear kw kukimbia 42km kw 1:59:40
Rekodi mpya ya nini?

Hata wewe unaweza kuweka rekodi mpya ya kunya.

What is the difference between what Kipchoge did and doping?
 
wewe ni chizi mda mrefu tu akili yako haipo sawa
Walio na sifa za kitabibu na usomi wa saikolojia kuagua nani chizi na nani si chizi, maadili ya taaluma yao yanawakataza kuagua hivyo mitandaoni kuhusu watu ambao hawajakutana nao.

Wanaoagua hivyo kijumlajumla mitandaoni, hawana sifa za kitabibu wala usomi wa saikolojia wa kuagua nani chizi na nani si chizi.

Una haki ya kikatiba kuniona mimi chizi, lakini hilo halimaanishi mimi chizi kweli.

Zaidi, uvivu wako wa fikra kitabia umekufanya ushindwe hata kuonesha uchizi wangu uko wapi.

Mwisho, ni tabia inayoeleweka kwa wasomi wengi wa saikolojia kwamba machizi wengi huwaona watu wengine ndio machizi, huona wao si machizi.
 
Rekodi mpya ya nini?

Hata wewe unaweza kuweka rekodi mpya ya kunya.

What is the difference between what Kipchoge did and doping?
Rekedi ya kukimbia kilomita 42 chini ya saa mbili. Wewe endelea kukana as known sport organizations are recognizing his record.
 
Kawaulize hao IAAF walio post...manake wametoa hongear kw kukimbia 42km kw 1:59:40
Hongera hata JF watu wametoa. Inaweza kuwa sehemu ya diplomasia tu.

Mimi naongelea world record, si hongera.

IAAF wameitambua hii time ya Kipchoge kama a marathon record?
 
Pole ndugu
Hongera hata JF watu wametoa. Inaweza kuwa sehemu ya diplomasia tu.

Mimi naongelea world record, si hongera.

IAAF wameitambua hii time ya Kipchoge kama a marathon record?
 
Eliud is in Guinness Books of Records. I know you don't like it but itabidii uzoee
Hahaha.

Mnabadilisha magoli sasa.

Mmetoka Marathon record mpaka sasa mmefika Guinness record.

Naona na nyie mnakimbia marathon yenu ya kubadilisha goals.
 
Back
Top Bottom