Elizabeth Dominic ampindua Madame B kwa Ben Saanane


Shughuli imeanza. Na huo mkodobwe ukuje kwanza hao uliwaowataja wengine mandumilakuwili
Na suala la kiuno hata miye ninacho shosti, mimba kitu gani? we zaa ulee bibi eeh tuache tufanye yetu
 
Last edited by a moderator:
Madame B nasikitika ndoa ikifungwa haitenguliwi....kaeni wewe Elizabeth Dominic na Ben Saanane mjue mtaishije....!
Kama ni Ben Saanane kulala katikati yenu mtajua wenyewe mie nishamaliza kazi yangu na SACCOS haziruhusiwi kwa sasa hadi kila mmoja apate mwenza.

Cc Wana Chitchat wote
 
Last edited by a moderator:
Shughuli imeanza. Na huo mkodobwe ukuje kwanza hao uliwaowataja wengine mandumilakuwili
Na suala la kiuno hata miye ninacho shosti, mimba kitu gani? we zaa ulee bibi eeh tuache tufanye yetu

Hahahaaaaa hureeeee
Mwanamke kiuno meeeeen!
Mwambie Madame B SACCOS yake itahusika kumlea mtoto atakapozaliwa na kwa sasa Mwenyekiti najitolea kulea Mimba!
 
Last edited by a moderator:
....ehee,na ukidondoka upotelee huko huko

Hahahahaaa sasa si utanikosa bby wangu?
Moyo tangu lini ukadondoka na mtu akabaki hai?
Na kumbuka moyo haudondoki mara mbili....ulishakudondokea wewe hakuna mwingine!
Cc mwallu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha...lakini wewe ni ruksa kula vya wenzio eeh!

Halafu unaninanii ujue bby...!
Mida hii nikikumbuka kula mapigo ya moyo yanabadilikaaaaaaaa:A S-confused1:
 
sijui nani atatoa taarifa ya kupinduliwa kwake.........

u mzima kaka angu,my wii Paloma anaendeleaje!!!!!!

mzima bukheri wa afya..chini ya uangalizi wa kakio - unafikiri kinaharibika kitu!!!

haya nimerudi--full back back unichoke mwenyeeeewe wiii!!!

ila sijui unalalaga wewe mtu? Mumeo anakula saangapi masapto ya usiku?!?! khaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…