Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hupatikani....utakulaje?
cc Lady doctor. . . Missing you!
Wewe Elizabeth Dominick, uliza mie na my honey Ben Saanane tulipo.
Ben Saanane hana ubavu wa kuniacha mimi hata kwa chembe.
Hathubutu katu.
Copy kwa shem wangu Ritz.
Kwanza hata ukimchukua Ben Saanane, nitajikunyata kwa ZeMarcopolo, au nitamnyang'anya Mamndenyi huyo chama wake.
Chezea wanawake wa mjini.
Mjini msingi kiuno...
Copy kwa MKODOBWE INC
Lisa, snowhite, gfsonwin, Lady doctor, lara 1, kipipi, King'asti, amu, Paloma, mimi49, Blaki Womani, miss chagga, Heaven on earth, hapiness win, miss strong, tinna cute....njoeni tumsuteni Elizabeth Dominic...
Mwenyekiti Erickb52, natengua Uhusiano huu mpya.
Kwanza nina mimba yake ya miezi 6.
Copy kwa:
Mashemeji watu8, sosoliso, platozoom, mwekundu.
Mawifi: Chocs, mwallu, measkron, Munkari, charminglady (wa zamani)
Mabinamu: Mwita Maranya, Mr Rocky.
Mpwa: Paw.
Wanafunzi wangu Kaizer, Mentor.
Wadogo zangu wote, Dada zangu wote.
NAWATANGAZIA KUWA NAJUA KUPENDWA, SIJUI KUACHWA
Erickb52, kumbuka kuna Tindikali na sindano za kutobolea macho, Ohooo..!!!!!
We pokea rushwa tu.
Copy kwa Baba Mtumishi kandukamo1.
Madame B nasikitika ndoa ikifungwa haitenguliwi....kaeni wewe Elizabeth Dominic na Ben Saanane mjue mtaishije....!Wewe Elizabeth Dominick, uliza mie na my honey Ben Saanane tulipo.
Ben Saanane hana ubavu wa kuniacha mimi hata kwa chembe.
Hathubutu katu.
Copy kwa shem wangu Ritz.
Kwanza hata ukimchukua Ben Saanane, nitajikunyata kwa ZeMarcopolo, au nitamnyang'anya Mamndenyi huyo chama wake.
Chezea wanawake wa mjini.
Mjini msingi kiuno...
Copy kwa MKODOBWE INC
Lisa, snowhite, gfsonwin, Lady doctor, lara 1, kipipi, King'asti, amu, Paloma, mimi49, Blaki Womani, miss chagga, Heaven on earth, hapiness win, miss strong, tinna cute....njoeni tumsuteni Elizabeth Dominic...
Mwenyekiti Erickb52, natengua Uhusiano huu mpya.
Kwanza nina mimba yake ya miezi 6.
Copy kwa:
Mashemeji watu8, sosoliso, platozoom, mwekundu.
Mawifi: Chocs, mwallu, measkron, Munkari, charminglady (wa zamani)
Mabinamu: Mwita Maranya, Mr Rocky.
Mpwa: Paw.
Wanafunzi wangu Kaizer, Mentor.
Wadogo zangu wote, Dada zangu wote.
NAWATANGAZIA KUWA NAJUA KUPENDWA, SIJUI KUACHWA
Erickb52, kumbuka kuna Tindikali na sindano za kutobolea macho, Ohooo..!!!!!
We pokea rushwa tu.
Copy kwa Baba Mtumishi kandukamo1.
Shughuli imeanza. Na huo mkodobwe ukuje kwanza hao uliwaowataja wengine mandumilakuwili
Na suala la kiuno hata miye ninacho shosti, mimba kitu gani? we zaa ulee bibi eeh tuache tufanye yetu
Nambie wewe....
Mie nilishajistaafia kitambo...
Babu DC!!
unawahudumia vp wote au ndio yale ya poor service delivery
afadhali tumepata rais wa TFF jf CC karibu bestito
sijui nani atatoa taarifa ya kupinduliwa kwake.........
u mzima kaka angu,my wii Paloma anaendeleaje!!!!!!