Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Hakuna kama wewe mpenzi wangu!
Huyo Avemaria anakutisha tu sina mpango wa kuhamia airtel
Nakupenda kuliko kitu chochote (Unalijua hilo)
Haya mambo ya chit chat yangekuwa yanatokea in real world tungekuwa na majanga ya kutishi...
Babu DC!!
Pesa kwanza undugu baadaye...heheh usinishangae kuna siku niliongezewa damu na madaktari kumbe ilikuwa ni damu ya Mchaga mmoja hivi.
Makofiii..makofi tafadhali...
Yethu wangu... Kumbe safari yooote alopanga Elizabeth Dominic ilikuwa ni ya kwenda kufanya hivi........
I salute u mamito!!!
Wapi ubwabwaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
unajikoshatu hapa ili mkeo akuone ni muaminifu kumbe hakuna kitu. Kutwa kutongoza wanawake humu
kalagabaho!! muulize Mamndenyi akupe full story hawa watu wanapendana ndani kwa ndani hawajionyeshi kwa watu