Elizabeth, kabla ya kifo chako uliwahi kuwaomba msamaha watu weusi?

bibi na babu zako walikuwa wapumbav ndio maana wakatawaliwa , nawapongeza ancestors wa kizungu kuwa wise enough kutawala ancestors , km bado hujaelewa bas utatawaliwa 100yrs tena maana hujifunz nini kilikufanya ukatawaliwa , China , USA ,India. , SA , Both Korea , Brazil , wote walitawaliwa ila sasa hv wapo juu kuwazid wakoloni wenyew , kwann sisi bado tunalia lia tu hatuamki , mtu anajenga kibanda cha mlinz kwa 11M hlf upo hapa kupambana na PAST km vile present yako inashawish
 
Lakini wakoloni weusi ndio wamemtesa Sana mwafrika kuliko wakoloni weupe,nani ajui maumivu ya tozo, ufisadi, udikteta, Bora ya wakoloni weupe walitutesa lakini maisha yalikuwa bora, elimu bora, afya bora, ajira tele kuliko wakoloni weusi .
hahahahaaaaaa
 
Kwa hiyo wewe unataka wasilaumiwe kwa makosa waliotufanyia ?
 

Wewe hujui unachokiongea, unahitaji elimu ili kuondokana na chuki/kasumba uliyonayo. Narudia tena hujui unachokiongea, nenda vijijini utawakuta japo wamepungua tofauti na hapo zamani, wengine wamefariki na wengine wamehamia mijini, kwahiyo unaumia na kuteseka ukiwaona wakiishi mijini!! Na kuishi kwao mijini ndio sababu ya wao walishiriki biashara ya utumwa!! Unahitaji elimu kijana
 
kuna faida gn ya kumzungumzia wkt UTUMWA + UKOLONI ushapita zama tyr
 
Waafrika kutwa kulaumu wazungu utafikiri wapo bungeni kutunga habari ya tozo, unakusanya 500b Kila mwaka unanunua V8 halafu kununua ambulance hautaki Kisha unakuja kumlaumu mzungu.
hahahahaaaaaa
 
Wewe jamaa huna hoja za msingi, ni mtu ambae chuki imekujaa kifuani mwako, pole sana, endelea kuteseka ikiwezekana jipige kitanzi
 
Na wewe acha kulaumu waarabu,, huyo gadafi kauawa na mtu mweusi +wazungu, na hapa sijui utasemaje!!
waarabu wapumbav sana , kweny serikali kuu hadi uenyekiti huez sikia mwafrika kapewa shavu hata km ni raia wa kuzaliwa kweny nchi zao za kiarabu , WABAGUZI SANA HAO
 
acha ubishi bas , video zipo kibao zipo shuhuda kibao au unatumia smartkitochi ?

Narudia tena acha chuki, hujaishi nao na wala hujatembea nchi zao ukajionea japo kidoncho tu, hakuna jamii watu wake wamestaarabika na wakarimu hapa duniani kama waarabu, japo sio wote lakini most of them wako poa ukilinganisha na jamii zingine
 
Ningepata nafasi ya kukutana na wewe ningekunasa vibao kwa huu ushenzi unao andika hapa.
mwanzon sikumuelewa huyo jamaa ila nmekuja kumuelewa , waafrika hatuna focus ya nini tunataka na hili ndo ttzo , huez poteza muda kulaumu utumwa na ukoloni km vile ni wewe pekee ulipitia utumwa na ukoloni , cha msingi ni kutatua matatizo yanayotukabili sasa hv mf Rushwa , Tozo kubwa , Unyanyapaa , UFISADI na Unemployment , Ila kuanza kuzungumzia mamba ya Ukoloni na utumwa ni kuonesha kiwango kdg cha ufikiri
 
Muda mwingine uchunge kauli unazo toa juu ya waathirika wa jambo fulani utakuja kupigwa kwa kauli zako za kipumbavu kwa waathirika.
hao waathirika ndo walikuwa push factor , hawapendani Wasachomana wao kwa wao mf huko Libyia , ni Misri na Algeria walitoa training grounds za waasi kwenda kumtoa Ghadaf , pia huko Somalia ni Ethiopia alikuwa anachochea ghasia kwa kuwa mlango wa silaha kuingia Somalia pia huko Liberia na Sierra Leone ni nchi jirani ndo zilikuwa vituo vya waasi kuanzishia harakati zao pia huko Central Africa , Sudan na Chad walitrain vikund vya kigaid kwenda kuichafua C.Africa , pia huko DRC tumeona M23 ikiwa backed na Rwanda pia ADF ikiwa km njia ya UG kuingia na kuiibia DRC maliasili zao , LAWAMA LAZIMA ZIANZIE KWETU SISI KABLA YA KUWALAUMU TULIOWAPA MWANYA KUJA KUFANYA YAO
 
Kama umeshindwa kujibu swali langu la mwanzo , achana na comment zangu kureply . maana unaonekana ni mpumbavu .
 
CHINA , INDIA , USA , BRAZIL ,BOTH KOREA , SINGAPORE , SA EGYPT , ETC
 
waarabu wapumbav sana , kweny serikali kuu hadi uenyekiti huez sikia mwafrika kapewa shavu hata km ni raia wa kuzaliwa kweny nchi zao za kiarabu , WABAGUZI SANA HAO

Mimi huwa nawachana laiv watu kama wewe, chuki zimekujaa, jitathmini upya!

Hapa unavyo waona waarabu wanapata nafasi za ubunge ujue wanakubalika na wanaleta maendeleo kwenye majimbo yao, hapo hakuna namna ni lazima tuwapigie kura, hatuangalii cha rangi wala race ya mtu, tunachotaka ni maendeleo na sio chuki. Refer shabibi huko gairo wanampenda na kumkubali sana, meatu kipindi cha hamisi mbuzi, na sasa wanamkumbuka. Endelea kuumia na kuteseka kijana.

Huko uarabuni kama hawajitokezi/hawakidhi!! Unataka wapachikwe tu hata kama hawakidhi!!! Acha roho mbaya na chuki kijana, tutafute hela, kulialia hakusaidii kitu.
 
Wazungu wameondoka Miaka 50 iliyopita bado mnalialia tu! Waswahili wakishafeli kinachobaki ni kujificha kwenye lawama
 
Kwa hiyo wewe unataka wasilaumiwe kwa makosa waliotufanyia ?
wao walikuwa sahihi ndio maana walitutawala , sis tulifer ndio maana tulitawaliwa , hili sio la kubishana ,kwann ETHIOPIA haikutawaliwa ?
 
wao walikuwa sahihi ndio maana walitutawala , sis tulifer ndio maana tulitawaliwa , hili sio la kubishana ,kwann ETHIOPIA haikutawaliwa ?
Kuendelea kujibizana na mpumbavu kutadhihirisha kuwa na mimi ni mpumbavu.

N.b: Ningepata nafasi ya kukutana na nyie watu wawili kwenye huu uzi ninge hakikisha midomo yenu haitoi tena hizi kauli .
 
Ungepika block hio PIMBI[emoji35][emoji34][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…