Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Tena hii ndio jinai mbaya inatia doa wanyamwezi. Nilisoma sehemu, ilikua ndio kabila la ovyo wakikamata watu wa makabila mengine na kuwauza kama watumwa. Ilinifedhehesha sana.Hakuna ukweli wowote maana utumwa ni human nature shukuru hao wazungu wameukomesha... Afrika tu utumwa ulikuwepo hata kabla ya kuja wazungu... Babu zako wa Tabora wamekuwa wakinunua na kuuza weusi wenzao wakati wa long distance trade na warabu