Elizabeth, kabla ya kifo chako uliwahi kuwaomba msamaha watu weusi?

Chuki yangu juu ya wakoloni [ Ujerumani & Uingereza ] haitafutwa na mpumbavu yoyote mpaka pale watakapo piga goti mbele yangu na familia yangu kwa walicho wafanyia Babu na Bibi kamwe ni jeraha lisilo futika katika moyo wangu.

# Kazi ya vibaraka ni kusifia na kutetea wakoloni endelea maana ndio kazi mliyo kuwa nayo hata wakati wa ukoloni mpo radhi kuona ndugu zenu wakiteswa na wakoloni Ila nyie mkiendeleza kazi ya kulamba makalio ya wakoloni ila chunga sana unapo lamba makalio ya watesi utalamba na vinyesi vyao ukidhani ni siagi ipo kwenye makalio yao.
Subiri uje upigiwe magoti maana unapenda utemi, wenziyo hawana time na mpumbavu anayesubiri kupewa pole wapo busy kujenga chumi zao na kuhakikisha mstakabali mwema wa mataifa Yao.
 
Lakini wakoloni weusi ndio wamemtesa Sana mwafrika kuliko wakoloni weupe,nani ajui maumivu ya tozo, ufisadi, udikteta,nk
Hawa nao wapumbavu wengine wakijani wana nafasi yao pia ya kusemwa kwa ujinga na upumbavu wao wanao watendea WATANZANIA Ila kwa sasa tulizungumzia kwanza hili jibwa dikteta katili uaji lililo kufa na damu za Babu na Bibi yangu mikononi mwake wacha liende kwa wauaji wenzake huko . familia ya kijambazi iliyo jaa damu za watu wa kila rangi.
 
Dunia haiko fair.
Binafsi nadhani ni mihemko kumwaga chuki mtandaoni dhidi ya bidada Eliza.

Waafrica tumenyanyasana sana baada ya utawala wa hawa watu kiasi sioni tofauti yoyote.

Hebu tuombane misamaha sisi kwa sisi halafu baada ya hapo tudai misamaha kutoka ughaibuni.

Aibu zetu.
 
Waafrika kutwa kulaumu wazungu utafikiri wapo bungeni kutunga habari ya tozo, unakusanya 500b Kila mwaka unanunua V8 halafu kununua ambulance hautaki Kisha unakuja kumlaumu mzungu.
 
Subiri uje upigiwe magoti maana unapenda utemi, wenziyo hawana time na mpumbavu anayesubiri kupewa pole wapo busy kujenga chumi zao na kuhakikisha mstakabali mwema wa mataifa Yao.
Endelea kutetea malaya wenzako watakupeleka pale London kwenye kasri lao ukawe jibwa lao .
 
Waafrika kutwa kulaumu wazungu utafikiri wapo bungeni kutunga habari ya tozo, unakusanya 500b Kila mwaka unanunua V8 halafu kununua ambulance hautaki Kisha unakuja kumlaumu mzungu.

Na wewe acha kulaumu waarabu,, huyo gadafi kauawa na mtu mweusi +wazungu, na hapa sijui utasemaje!!
 
Kwa hiyo unataka wasilaumiwe kwa ushenzi walio tufanyia kwa Bibi na Babu zetu ? Au wewe Bibi yako ni dikteta Elizabeth II ?.
 
Hao wazungu ndiyo walioenda Tripoli au Misrata kuanzisha maandamano? Kwani Ghadaf alikuwa Rais wa kwanza kupinduliwa na kuuawa na watu wake? Madikteta wote hufa in the same way, kuanzia Samwel Doe. Sami Abacha nawengine vifo vyao vilikuwa ni Kama stori tu.
 
Kwa hiyo unataka wasilaumiwe kwa ushenzi walio tufanyia kwa Bibi na Babu zetu ? Au wewe Bibi yako ni dikteta Elizabeth II ?.
Endelea kuwalaumu... Nakuambia hakuna race ambayo haijawahi kukaa utumwani... Afrika, Asians Carbean Arabs na Europeans wote washakaa utumwani in different historical times whether from within ama Kwa wageni.
 
Ningepata nafasi ya kukutana na wewe ningekunasa vibao kwa huu ushenzi unao andika hapa.
 
Huo ndiyo ukoloni sasa, uninase vibao kisa kukataa maoni yako?
Muda mwingine uchunge kauli unazo toa juu ya waathirika wa jambo fulani utakuja kupigwa kwa kauli zako za kipumbavu kwa waathirika.
 
Utapigwa wewe unajiita muathirika wa utumwa wakati upo hapahapa Afrika.. Sasa sijui utumwa ulikuathiri vipi Ungekuwa Liberia labda ningejua ulirudishwa kutoka Utumwani but wewe upo hapahapa Tanzania Sasa uliuzwa wapi?
 
Chunga sana kauli kama hizi utakuja kuzijutia.
 
Dunia haiko fair.
Binafsi nadhani ni mihemko kumwaga chuki mtandaoni dhidi ya bidada Eliza.

Waafrica tumenyanyasana sana baada ya utawala wa hawa watu kiasi sioni tofauti yoyote.

Hebu tuombane misamaha sisi kwa sisi halafu baada ya hapo tudai misamaha kutoka ughaibuni.

Aibu zetu.
maamuzi n yao au yetu waanze kutuomba msamaha au tuanze kuombana msamaha . lakn hiyo haifuti au haibadilishi maana yyt km wametuumiz na kuongea n haki yetu na hatupsw kukaa kmya kwa kigez et tutaonekn tuna mihemko
 
Hawa nao wapumbavu wengine wakijani wana nafasi yao pia ya kusemwa kwa ujinga na upumbavu wao wanao watendea WATANZANIA Ila kwa sasa tulizungumzia kwanza hili jibwa dikteta katili uaji lililo kufa na damu za Babu na Bibi yangu mikononi mwake wacha liende kwa wauaji wenzake huko . familia ya kijambazi iliyo jaa damu za watu wa kila rangi.
Lakini wametuletea maendeleo,we uoni miji yote wamejenga wao
 
Sasa unajua maana ya kudai uhuru Nini? Ulipata uhuru sasa unalilia Nini mkuu. Ulikuwa under colonial rule sasa unataka upewe pole ilihali CCM tu inaendesha nchi kitemi na hutaki kuwaambia wakiombe samahani.
Tatizo watu weusi tunawalaumu sana weupe kwa kushindwa kwetu wenyewe. Ni kweli walitukosea na ilikuwa ni lazima wafanye hivyo kwa manufaa yao. Sasa tuna uhuru tangu 1961 na hakuna kinachofanyika, tunarudi tena kusaidiwa na hao hao weupe. Kila siku unasikia lawama kuwa umaskini wetu ni kwa sababu ya weupe.
 
tukiwalaumu viongozi wetu kutufikisha hapa tulipo . sio lesson et tusiwalaumu white peoples....

viongozi wanatufelisha ila white peoples walitufelisha
Utalaumu mpaka lini na wakati viongozi wetu wakihamisha mabilioni ya dola kuyaficha nje. Nadhani Afrika tuamke na kulijenga bara letu, ila inaonekana tumefeli na tumeamua kugeuzia lawama kwa mambo yaliyopita miaka mingi sana.
 
Back
Top Bottom