Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,215
- 1,594
Faida ni zipi za kujenga mwezini?Wewe ukisema 'I cant' na akili yako inaishia hapo , ina shutdown, mwenzako anasema 'how can I do it' ... na anafanya anaweza...
Kwa mambo ambayo Musk ameshafanya sina mashaka nae, hata akichekewa ni kutokana na ugumu wa utekelezaji...
Wanatuweka busy kwa mambo ambayo utekelezaji wake haupo kabisa, nasi tunajaa tuKama dunia itafikia kuwa uninhabitable, basi huo ndo utakuwa mwanzo wa human extinction, hizo porojo mara kwenda mwezini sijui mars ni project unfeasible
NimekipataElon Musk , Tesla, SpaceX, and the Quest for a Fantastic Future kimeandikwa na Aslee Vance...
Vipo vingine pia..
Kwamba mwanzo hakujua kama mwezi upo karibu kuliko hio Mars ama ?Hasingizii ni kweli mwezi upo karibu na hayupo mwenyewe kampuni zingine mpaka za china zina race toward moon minerals
Wakati wewe ubongo wako ukiwaza ngono, wenzako ndio hivo wanawaza kujenga mji mweziniKukugeuza wewe kuwa mke wangu.
We unadhani pesa zake za kwenye stock sio pesa? Hata kama anachofanya ni kupandisha shares kwenye kampuni hakuna ubaya, hao wazungu mambo yao hawana mbambamba sio kama uswahili wa Bongo...Huyo anachezea watu akili ku-promote biashara zake. Unajua utajiri wake huyo ni wa hisa sio cash. Huyu ukimpeleka kwenye cash anaweza kuzidiwa hela mpaka na cristiano ronaldo. Kwahiyo anawauzia watu illusion tu kupandisha thamani ya makampuni yake kwenye soko la hisa. Juzi tu kasema miaka 10 ijayo watu wataamia kwenye AI kwahiyo hela hazitakiwepo tena. Huo ni uongo anawapiga watu kamba kwa sababu yeye pia yupo uko kwenye AI
Safi mkuu..Nimekipata
Kumbe wenzangu? Na siyo wewe?Wakati wewe ubongo wako ukiwaza ngono, wenzako ndio hivo wanawaza kujenga mji mwezini
Endelea na ujinga
Hahaha swali zuri sana hili, akikujibu nitag Mkuu.Kwamba mwanzo hakujua kama mwezi upo karibu kuliko hio Mars ama ?
Kuna madini yapo mwezini.. Na pia SpaceX wakifanikiwa kutengeneza Starship ya kupeleka mizigo na watu mwezini watakula contract na serikali, mashirika na makampuni mbali mbali wanakuwa wao ndio kama FedEx ama DHL wa kwenda mwezini...Faida ni zipi za kujenga mwezini?
Jaribu na wewe kama ni rahisi..Huu ndio ukweli ambao mashabiki maandazi hawataki kuukubali, utajiri mzima wa Musk unategemea hype ya soko la hisa, kila akiongea kuhusu jambo fulani kutaka kulifanya wajinga wanakimbilia kununua hisa zake, bei inapanda, yeye anazidi kuwa tajiri, utekelezaji unabaki kuwa ni ndoto kila siku.
Wabongo mkishashiba sembe na kibua huwa mnazungumza mnavyojisikia..Kumbe unaongelea namna wanavyofikiri wengine na siyo wewe?
Umaskini wa akili huu.
Nonsense mtupu unaandika, kwamba wewe unamjua sana?Jaribu na wewe kama ni rahisi..
Wewe usiite wenzako washabiki maandazi...
Narudia kusema tena hakuna tajiri mpuuzi na mjinga atakimbia kwenda kuwekeza mamilioni ya dola kama hisa kwa kusikiliza story za mtu..
Au hedge fund, ama bank ikanunue hisa kwq kukurupuka, watu walinunua hisa baada ya kuona matokeo, Tesla ilileta mapinduzi makubwa kwenye gari za umeme, SpaceX ilileta mapinduzi kwenye usafirishaji wa anga... hakuna ujanja ujanja na utapeli...
Banks, hedge funds ama mashirika hawanunui hisa kwa kukurupuka, wana timu za wataalamu wa fedha, wachambuzi wa data, na wanasayansi wanaochambua mizania ya kampuni, wanaelewa mauzo ya kampuni na faida n.k...
Wabongo bana, kirahisi tu, eti utajiri wake ni kwa sababu ya ku manipulate market.. ka manipulate na wewe...
Unafikiri aliamka asubuhi akaenda ku manipulate masoko ya hisa akawa bilionea?
Ukiona mtu amefikia hatua anazungumza na sekta ya fedha inatikisika inabidi umuheshimu, hakufika hapo kirahisi..
Una ujuaji wa kijinga kwa mtu ambaye hata hakufahamu.Wabongo mkishashiba sembe na kibua huwa mnazungumza mnavyojisikia..
Mwezini kwenyewe wamefika..?Wana malengo ya muda mrefu, usifikiri kujenga mji kwenye mwezi ni kazi nyepesi..
Musk huo uwezo anao, ana uthubutu na haogopi kujaribu...
Punguza roho mbaya na uchawi..Nonsense mtupu unaandika, kwamba wewe unamjua sana?
Punguza ujuaji wa kijinga.
Nakubali alichofanya, hata starlink Internet ni juhudi zake ambapo leo hii hadi huko Ukraine wanategemea internet ya starlink...Una ujuaji wa kijinga kwa mtu ambaye hata hakufahamu.
Wamepeleka vyombo kama robots, hivi sasa SpaceX na NASA wanashirikiana kutengeneza Starship ambayo itatua mwezini ikiwa imebeba watu, hio program wanaita Artemis ...Mwezini kwenyewe wamefika..?