Hili jamaa linapenda solution ngumu ndio maana linapetaTajiri namba moja duniani Elon Musk ametangaza kampuni yake mojawapo ya Neuralink inayofanya kazi za kuhusianisha ubongo wa binadamu na teknolojia kuja na kifaa cha kuwawezesha vipofu kuona.
Anasema kwa kuanzia uoni kupitia kifaa hicho utakuwa hafifu lakini utazidi kuboreka na kuwa kama uoni wa binadamu mwenye macho mazima kabisa kadri muda utakavyoenda.
Pia amewashukuru mamlaka ya dawa na vifaa tiba ya Marekani (FDA) kwa kuwapa kibali cha kuanza majaribio ya kifaa hicho.
View attachment 3099144
View attachment 3099145
View attachment 3099147
Tusubiri tuone
Na wewe ni kipofu dia?
Allahu Akbar; Allahu Akbar; Allahu Akbar!Hili jamaa linapenda solution ngumu ndio maana linapeta
Ningeshangaa nisingekutana na maoni ya Wanasayansi wa Tegeta.Ili wavidukue , kulipua watu . 😀 😀
Noma sana huyu jamaaHili jamaa linapenda solution ngumu ndio maana linapeta
Wale manabii fake wa kilungule wajifunze kitu hapa..Hata ambaye hajawahi kuona toka azaliwe ataona.
Tumalize kwanza kuhakikisha wanafunzi wetu wa shule wana matundu ya kutosha ya vyoo na wanakula chakula bora mashuleni sio makande na ugali maharage tu.Ee Mungu tuonee huruma na sisi wa Africa ili IQ zetu zipanuke tupate kufanya yanayofanywa na wenzetu.