Elon Musk atangaza kampuni yake ya Neuralink kuleta kifaa tiba cha kuwawezesha vipofu kuona!

Elon Musk atangaza kampuni yake ya Neuralink kuleta kifaa tiba cha kuwawezesha vipofu kuona!

Elon Musk angebaki bara mfu ili asingekuwa kama alivyo leo , mazingira ya nchi za Afrika ni ya kishenzi , nchi hizi zinaongozwa na watu wenye mtindio wa akili na mifumo yake ni kama ya tawala za kale ,enzi za ujima .
🙏🙏
 
Mfumo wote wa Musk ni wakijinga , kuanzia chip yake mpaka hiko kifaa ...Ukitumia tayari unaweza kufanywa chochote kile kwa mda wowote ule.
Eeh wachaa wee..yani mtu toka azaliwe hajawah kuona leo mwamba mmoja amekuja na solution unamwita wakijinga..
Haahahhaah kweli wapumbavuu hawaishi hapa duniani.
 
Eeh wachaa wee..yani mtu toka azaliwe hajawah kuona leo mwamba mmoja amekuja na solution unamwita wakijinga..
Haahahhaah kweli wapumbavuu hawaishi hapa duniani.
Kwa hiyo huo mfumo wa kuona haupo , anavyofanya Musk ni kuingilia kila sekta, wkeny internet ni brand yake tu hamna kipya hata kweny kuona wapo wanaotumia hivyo vifaa miaka mingi tu kama hujui .
 
Imani potofu Sasa hii shekhe😧😧
Utakuja kunielewa , tulitegemea kupata dawa na kansa au kufufua watu hana kipya ...Hata internet ni idea iliyopo tayari na hiyo ya macho ndio kabisa vifaa vipo miaka 10 nyuma.
 
Wenzetu wanapiga hatua huku Afrika tukijikita kwenye wizi na ufisadi na ukatili!
Na raia nao wengi walivyokosa akili jitu lenye roho mbaya zaidi ndilo wanalisifia na kuliona ndiyo kiongozi bora!
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom