Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
AMINA!Ee Mungu tuonee huruma na sisi wa Africa ili IQ zetu zipanuke tupate kufanya yanayofanywa na wenzetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AMINA!Ee Mungu tuonee huruma na sisi wa Africa ili IQ zetu zipanuke tupate kufanya yanayofanywa na wenzetu.
Sijalazimishwa na ndo maana nimeachana nazo.Wewe umeacha dini una lipi la kueleta matokeo kwenye jamii? Umelazimishwa kufuata dini ?
Chini ya CCM SahauEe Mungu tuonee huruma na sisi wa Africa ili IQ zetu zipanuke tupate kufanya yanayofanywa na wenzetu.
Kaa kwa kutuliaSijalazimishwa na ndo maana nimeachana nazo.
Sawa...Kaa kwa kutulia
Mzee mmoja aliwahi kusema, wanasayansi wa Tegeta wamekuja na uvumbuzi mkubwa Duniani wa kugundua kuwa mahindi ya kuchoma unaweza ukala na pilipili.Ningeshangaa nisingekutana na maoni ya Wanasayansi wa Tegeta.
Agundue kitu ya hechiaivii atakua amepiga shindo la milele yooteHili jamaa linapenda solution ngumu ndio maana linapeta
Akili ya mwafrika halisi hiiHabari njema hii kama kawaida tech ikifanikiwa tatizo jipya litaibuka.
Miaka 30 ijayo usishangae Africa tukapewa misaada ya kuona kwa vipofu walioongezeka sana kwa masharti fulani fulani.
Kabisa. Yaan hata hawakuwaza mwamba ana waza mambo makubwa yaliyo shindikanaKwa hiyo hiki kichwa Nappe ndo alitaka kije mezani wajadiliane? Kuna watu wana mizaha sana.
Hi habari nzuri sana kwa wote sio kwa vipofu tu hata wenye matatizo ya kuona vizuri.Tajiri namba moja duniani Elon Musk ametangaza kampuni yake mojawapo ya Neuralink inayofanya kazi za kuhusianisha ubongo wa binadamu na teknolojia ya computer kuja na kifaa cha kuwawezesha vipofu kuona.
Anasema kwa kuanzia uoni kupitia kifaa hicho utakuwa hafifu lakini utazidi kuboreka na kuwa kama uoni wa binadamu mwenye macho mazima kabisa kadri muda utakavyoenda.
Pia amewashukuru mamlaka ya dawa na vifaa tiba ya Marekani (FDA) kwa kuwapa kibali cha kuanza majaribio ya kifaa hicho.
View attachment 3099144
View attachment 3099145
View attachment 3099147
Si ndio maana tunafanya gunduzi Kila leo hili kukabiliana na hicho unachokihofia.Hii movie nimeitazama. Binafsi nadhani kuna umuhimu kweli wa population control. Hatuwezi kuzaliana tu kama ng'ombe wakati tunategemea viumbe wengine kusurvive.
Sisi ni predetors wa mimea, wanyama, ndege, samaki n.k. sasa imagine tupo binadamu B50 duniani, what will happen?
Kama Leo tu tupo B6 kuna nchi ukienda hospitali watu wamelundikwa kama ng'ombe tukifika B50?. Maisha yatakosa thamani kabisa.
Hebu wachangie Hezbollah maana kesi za macho zimekuwa nyingi. ukinunuaukachangia device japo moja tu ila upeleke directly zikipita kwa mosad shauri yakoHi habari nzuri sana kwa wote sio kwa vipofu tu hata wenye matatizo ya kuona vizuri.
Elon musk kazaliwa Africa ya Kusini upo hapo...Ee Mungu tuonee huruma na sisi wa Africa ili IQ zetu zipanuke tupate kufanya yanayofanywa na wenzetu.
Nape yule kilaza form four failure mbwa mmoja zero brain Ndio alitaka akae meza moja na visionary mkubwa wa teknolojia wa karne hii Elon Musk ,sijui hata angeongea naye nini ,maana hata kiingereza hajui .Kwa hiyo hiki kichwa Nappe ndo alitaka kije mezani wajadiliane? Kuna watu wana mizaha sana.
Ajabu sana.Kwa hiyo hiki kichwa Nappe ndo alitaka kije mezani wajadiliane? Kuna watu wana mizaha sana.
Duh! Walimfanyia nini mkuu?Maendeleo kwenye hii nchi ni ndoto , ukitaka kuamini angalia wizara ya fedha ,BOT na TCRA walichomfanyia yule dogo Fernandes mmiliki wa Nala
Iq inashushwa pia na mifumo ya kishenzi na tamaduni za kipumbavu zinazoongoza nchi zetu na jamii zetuEe Mungu tuonee huruma na sisi wa Africa ili IQ zetu zipanuke tupate kufanya yanayofanywa na wenzetu.
Walimbania kufanya uwekezaji wake humu na kulaunch ile Nala hapa ,wakamyima vibali na legal approval akaenda Kenya ,Leo hii ni multimillionaire na kampuni yake imeorodheshwa kwenye masoko ya hisa pale Marekani na alifanikiwa kuraise bilioni 200 kama mitaji ya wawekezaji kwenye masoko ya hisa pale Marekani mwaka huu.Duh! Walimfanyia nini mkuu?
Elon Musk angebaki bara mfu ili asingekuwa kama alivyo leo , mazingira ya nchi za Afrika ni ya kishenzi , nchi hizi zinaongozwa na watu wenye mtindio wa akili na mifumo yake ni kama ya tawala za kale ,enzi za ujima .Elon musk kazaliwa Africa ya Kusini upo hapo...