Elon Musk atangaza kampuni yake ya Neuralink kuleta kifaa tiba cha kuwawezesha vipofu kuona!

Elon Musk atangaza kampuni yake ya Neuralink kuleta kifaa tiba cha kuwawezesha vipofu kuona!

Walimbania kufanya uwekezaji wake humu na kulaunch ile Nala hapa ,wakamyima vibali na legal approval akaenda Kenya ,Leo hii ni multimillionaire na kampuni yake imeorodheshwa kwenye masoko ya hisa pale Marekani na alifanikiwa kuraise bilioni 200 kama mitaji ya wawekezaji kwenye masoko ya hisa pale Marekani mwaka huu.
Imagine ni mapato kiasi na ajira kiasi gani kama nchi imekosa kwa upumbavu ,ubinafsi na uzezeta wa hawa policy makers na Mazezeta wenzao kwenye hizi taasisi mfu za serikali
Shida ipo hapa, haiwezekani mpaka leo shule za kata zimetoa graduates lakini sifa za kuwa mbunge ni kusoma na kuandika.
 
i always say, kama afrika tusipo amka. basi ni haki yetu kufanyiwa chochote. Hii neuralink toka inaanza tangazwa mwanzoni wengi walidhani mzaha lakini mdogomdogo inakua kitu halisi sasa. Muafrica utakuja msikia tu wanataka watuue, kama kweli wanataka watuue na sisi tuanze kazi sasa ya kujilinda
Tunaendekeza ujinga na upumbavu .
Nchi ambayo masaa ishirini na nne ni kujadili Simba na Yanga na habari za ngono na uchawa na umbea , hamna nchi hapo bali mkusanyiko zombies
 
Unawekewa chip , unakuwa controlled ikitokea ukahackiwa utafanya nn ? Kucontrol binadamu mpaka kuweza kucontrol conscience yake ni hatari sana ...Japo siamini watu wa NWO ila naanza kupata mashaka .

Ukitaka kujua hilo kaangalie movie inaitwa ''What happende to Monday'' Then ichambue vizuri kuna sehemu mwaka unaonekana 2073 ...Watu wanachip mwilini na idadi ya watu inatakiwa kuwa wachache , jamaa wakikifuatilia ni dk hata iweje watupata ..Kuna sehemu yule dada alikuw ananua nyama basi akalipa kwa kuscan bracelet iliyoko mwilini .
Akili yakisabato hii achana namaimani hayo wenzetu walishayaacha
 
Walimbania kufanya uwekezaji wake humu na kulaunch ile Nala hapa ,wakamyima vibali na legal approval akaenda Kenya ,Leo hii ni multimillionaire na kampuni yake imeorodheshwa kwenye masoko ya hisa pale Marekani na alifanikiwa kuraise bilioni 200 kama mitaji ya wawekezaji kwenye masoko ya hisa pale Marekani mwaka huu.
Imagine ni mapato kiasi na ajira kiasi gani kama nchi imekosa kwa upumbavu ,ubinafsi na uzezeta wa hawa policy makers na Mazezeta wenzao kwenye hizi taasisi mfu za serikali
Sasa wewe wizara kubwa kama teknolojia unampa nape aiseee
 
Tech nzuri sana.
Itatusaidia hata sisi tunao tumia vioo kuona mbali na kalibu.
Kwaheri miwani
Karibu Tillionea Musk.
 
Tumalize kwanza kuhakikisha wanafunzi wetu wa shule wana matundu ya kutosha ya vyoo na wanakula chakula bora mashuleni sio makande na ugali maharage tu.
Maharage ni mazuri ni full protein zaidi ya nyama
 
Walimbania kufanya uwekezaji wake humu na kulaunch ile Nala hapa ,wakamyima vibali na legal approval akaenda Kenya ,Leo hii ni multimillionaire na kampuni yake imeorodheshwa kwenye masoko ya hisa pale Marekani na alifanikiwa kuraise bilioni 200 kama mitaji ya wawekezaji kwenye masoko ya hisa pale Marekani mwaka huu.
Imagine ni mapato kiasi na ajira kiasi gani kama nchi imekosa kwa upumbavu ,ubinafsi na uzezeta wa hawa policy makers na Mazezeta wenzao kwenye hizi taasisi mfu za serikali
PayPal walishairuhusu Tanzania?
 
Ndizo kazi wanazoziweza.Kuinuka na kwenda kukamata mtu tu kirahisi.Kutumia akili na kufanya uchunguzi kitaalamu ni ziro.
 
Akili yakisabato hii achana namaimani hayo wenzetu walishayaacha
Kisabato kutoka link , hiyo tiba ya macho ndio umepata smartphone mwaka huu nn? Ipo mda sana mshamba mmoja wewe .

Ngoja uwekewe chip uone , hata uende wapi wanakuona ....Huwezi kuwa na akili timamu ukakubali kuwekewa chip labda uwe chizi kama wewe .
 
Achana namambo yakusadikika akil yabinadam inazid kukua wew unazan kuna huo mwisho wadunia hio sahau sasa jiulize mwaka elfu 3 wanadam watakua wamefikia wap kwenye teknolojia yan itakua nibalaa nahakuna maandiko wala nin yatazuia technology
 
Tajiri namba moja duniani Elon Musk ametangaza kampuni yake mojawapo ya Neuralink inayofanya kazi za kuhusianisha ubongo wa binadamu na teknolojia ya computer kuja na kifaa cha kuwawezesha vipofu kuona.

Anasema kwa kuanzia uoni kupitia kifaa hicho utakuwa hafifu lakini utazidi kuboreka na kuwa kama uoni wa binadamu mwenye macho mazima kabisa kadri muda utakavyoenda.

Pia amewashukuru mamlaka ya dawa na vifaa tiba ya Marekani (FDA) kwa kuwapa kibali cha kuanza majaribio ya kifaa hicho.

View attachment 3099144
View attachment 3099145
View attachment 3099147
Huyu msouthafrica hatari sana
 
Wenzetu wanapiga hatua huku Afrika tukijikita kwenye wizi na ufisadi na ukatili!
Na raia nao wengi walivyokosa akili jitu lenye roho mbaya zaidi ndilo wanalisifia na kuliona ndiyo kiongozi bora!
 
Back
Top Bottom