City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Shida ipo hapa, haiwezekani mpaka leo shule za kata zimetoa graduates lakini sifa za kuwa mbunge ni kusoma na kuandika.Walimbania kufanya uwekezaji wake humu na kulaunch ile Nala hapa ,wakamyima vibali na legal approval akaenda Kenya ,Leo hii ni multimillionaire na kampuni yake imeorodheshwa kwenye masoko ya hisa pale Marekani na alifanikiwa kuraise bilioni 200 kama mitaji ya wawekezaji kwenye masoko ya hisa pale Marekani mwaka huu.
Imagine ni mapato kiasi na ajira kiasi gani kama nchi imekosa kwa upumbavu ,ubinafsi na uzezeta wa hawa policy makers na Mazezeta wenzao kwenye hizi taasisi mfu za serikali