Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Tatizo letu pia lipo kwenye hizi hizi imani zetu. Mpaka leo kuna watu wanatoa ushuhuda kwenye maredio kwamba kuna mafuta ukipaka kama ni kipofu unaona. Mafuta ya Tsh 2000 tu huko kwa Nabii fulani.Ee Mungu tuonee huruma na sisi wa Africa ili IQ zetu zipanuke tupate kufanya yanayofanywa na wenzetu.