Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 242
- 288
🙏🙏Elon Musk angebaki bara mfu ili asingekuwa kama alivyo leo , mazingira ya nchi za Afrika ni ya kishenzi , nchi hizi zinaongozwa na watu wenye mtindio wa akili na mifumo yake ni kama ya tawala za kale ,enzi za ujima .
Huyo jamaa ni mwafrica alitokea south Africa ndio akaenda huko USAEe Mungu tuonee huruma na sisi wa Africa ili IQ zetu zipanuke tupate kufanya yanayofanywa na wenzetu.
Eeh wachaa wee..yani mtu toka azaliwe hajawah kuona leo mwamba mmoja amekuja na solution unamwita wakijinga..Mfumo wote wa Musk ni wakijinga , kuanzia chip yake mpaka hiko kifaa ...Ukitumia tayari unaweza kufanywa chochote kile kwa mda wowote ule.
Kwa hiyo huo mfumo wa kuona haupo , anavyofanya Musk ni kuingilia kila sekta, wkeny internet ni brand yake tu hamna kipya hata kweny kuona wapo wanaotumia hivyo vifaa miaka mingi tu kama hujui .Eeh wachaa wee..yani mtu toka azaliwe hajawah kuona leo mwamba mmoja amekuja na solution unamwita wakijinga..
Haahahhaah kweli wapumbavuu hawaishi hapa duniani.
Utakuja kunielewa , tulitegemea kupata dawa na kansa au kufufua watu hana kipya ...Hata internet ni idea iliyopo tayari na hiyo ya macho ndio kabisa vifaa vipo miaka 10 nyuma.Imani potofu Sasa hii shekhe😧😧
Aminnaaaaaaa!!!!!!!Hili litimie.
Wote tuseme Amina.