Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu

Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za China zikifanya maneuver angani


View: https://twitter.com/elonmusk/status/1861070432377737269?t=k5Q2yS9RpbgxG3TYbf5Ieg&s=19


View: https://twitter.com/elonmusk/status/1860574377013838033?t=Ml1MLhCcRQCOWiREEHViJA&s=19



View: https://twitter.com/elonmusk/status/1861088922304160167?t=OzL9bKDdUoypZW2qQgjvhQ&s=19

Haya madude ni makopo Lockheed Martin wamepiga pesa wamesepa
 
Hapo ndo inapokuja tofauti ya mmagharibi na hao wengine,,jamaa wana propaganda nzuri kitu cha buku 10 anaweza kukuuzia laki 1 sababu kajua kucheza na akili yako ila mkiingia uwanjani.......
 
Drones zinaangushwa na jammer
Kikubwa kwa vita za sasa zinapoelekea zinahitaji jeshi kutumia gharama ndogo ila kuleta impact kubwa, na drones zinakuja kutikisa soko la hizo ndege,,,,kwa sasa hadi kuna majeshi yameanza kubadilisha mafunzo na formations sababu ya drones na hasa walivyoona matumizi yake kule Ukraine na huku kwa Israel na wenzake
 
Nakumbuka na wanangu Bwana Utam and 100 others

Tulisema sana haya ma F-35 ni jina tu hayana lolote pro-US wakawaka sana.

Haya Musk naye kayakosoa vikali hamna ndege vita humo

Ujumbe uumfikie T14 Armata na jopo lake la akina Proved na Baltasar Ebang Engonga
Nilikua namueleza sana hili swahiba wangu T14 Armata kwamba F35 pale marekani kapuyanga narudia tena kumwambia katika ndege ambazo marekani kapotena basi ni hayo makopo hayo madege ni buuurree kabisaa ingawaje wamarekani wa jf watapingana mpaka na Elon
 
Huyo anataka hiyo kandarasi. Wewe endelea kupiga porojo.
DOGE Anapewa majibu mjarabu huko ubundini kwake
👇👇👇👇
don't understand this obsession with drones. They are EASILY jammed, destroyed, and spoofed. This idea that we can rely on them is ludicrous. Even if the US' EW wasn't second-to-none, we already have multiple weapon systems that dispatch them with ease. With the HELSI 500kw laser about to enter service, drones will be obsolete before they even get off the ground.
 
Huyo anataka hiyo kandarasi. Wewe endelea kupiga porojo.
Hana hata mpango huo alichosema ni sahihi kabisa

Mradi wa F-35 ulikaa kiupigaji sana hasa wafaidika ni hao defense contractors

Zaidi ya miaka 10 cost overruns kutoka bajeti ya $400 billion hadi kufikia lifetime bajeti ya $1.7 trillion

Halafu unakuja kutengeneza madege yana shida ya engine effeciency, software issues, mradi ukaenda beyond schedule

Billions of dollars zimetumika kwenye overpriced and underperforming project

Kuna upigaji mkubwa sana kwenye huu mradi Pentagon wanalitambua hilo

F-35 a flying money pit
 
Back
Top Bottom