Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa nini Wachina hawakutoa zaidi ya F35 kuonyesha wao ni zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini Wachina hawakutoa zaidi ya F35 kuonyesha wao ni zaidi?
Kuna nchi fulani kazi yake ni kucopy tu
Sijataja nchi lakiniUngekuwa unajua kutofautisha kati ya copy and paste na innovation wala usingeandika hiki ulichosema
Huwezi kufananisha J-35 ina more powerful twin engine na better kwenye stealth marvel, software na F-35 ambayo ni single engine setup plus engine and software issues
Sijataja nchi lakini
Ndio sababu ya mpaka Elon kuongea na kuonyesha wameachana nazo na wameamua kuwekeza kwenye nini sasa na sio manned jet fighter!Kwa nini Wachina hawakutoa zaidi ya F35 kuonyesha wao ni zaidi?
Hiyo nchi ili tuione inaweza sana igundue technology zake sio kila muda kucopyNaelewa ulichomaanisha
Taka taka hiyo tangu izinduliwe kwenye airshow inatoa moshi tu hata nusu mwaka haina
Hiyo blueprint ya f-35 walitoa baada ya kuiba nyarakaKwa nini Wachina hawakutoa zaidi ya F35 kuonyesha wao ni zaidi?
Kama F-35 haina lolote tuonyeshe scenario ni ndege gani ya kuipiga F-35.Nakumbuka na wanangu Bwana Utam and 100 others
Tulisema sana haya ma F-35 ni jina tu hayana lolote pro-US wakawaka sana.
Haya Musk naye kayakosoa vikali hamna ndege vita humo
Ujumbe uumfikie T14 Armata na jopo lake la akina Proved na Baltasar Ebang Engonga
Hiyo nchi ili tuione inaweza sana igundue technology zake sio kila muda kucopy
Ulimwambia kwa kutumia facts zipi? Ukipinge kitu sababu ya kutokipenda unataka watu wakukubalie tu.Nilikua namueleza sana hili swahiba wangu T14 Armata kwamba F35 pale marekani kapuyanga narudia tena kumwambia katika ndege ambazo marekani kapotena basi ni hayo makopo hayo madege ni buuurree kabisaa ingawaje wamarekani wa jf watapingana mpaka na Elon
Yote ni blue print ya f-35 hakuna unique hapo juzi kwenye airshow ilikuwa ina mwaga mimoshi halafu haina nusu miezi 3 tangu izinduliweUngekuwa unajua kutofautisha kati ya copy and paste na innovation wala usingeandika hiki ulichosema
Huwezi kufananisha J-35 ina more powerful twin engine na better kwenye stealth marvel, software na F-35 ambayo ni single engine setup plus engine and software issues
Kama F-35 haina lolote tuonyeshe scenario ni ndege gani ya kuipiga F-35.
Kama manned F-35 iliyoanza kazi 2015 ni upuuzi na drones ndio ujanja, tueleze kwanini hao Wachina unaoonyesha wana swarms of drones bado wanaunda J-20 ambazo ziliikuta F-35 na mwaka huu wamezindua mock up ya Baidi, ambayo probably itakuwa operational miaka ya 2030s na mwaka huu wameonyesha J-35 inakaribia kuingia kwenye matumizi?
Yani kwamba Musk na nyinyi mnajua ndege manned ni upuuzi, kwa kutazama drones za Wachina. Ila Wachina hao mnaotazama drones zao bado wana projects za ndege mannned na stealth 3.
J-20
J-35
Baidu
Nyinyi mnajua stealth fighter yenye rubani ni upuuzi ila Urusi wanaendelea kutoa Su-57 na wana project ya Su-75 itakuwa na rubani na itakuwa kwenye soko kwenye late 2020s au early 2030s.
Kwahiyo Waturuki wanaounda stealth and manned TAI TF Kaan ni viazi, nyinyi wajanja. Wajapan wanaounda Mitsubishi F-X stealth and manned wajinga. Waingereza wanaounda BAE Systems Tempest stealth and manned wapuuzi. South Korea wanaounda stealth & manned KF-21 Boramae wendawazimu.
Nyinyi mmesoma Military Academy gani inayopinga kila jeshi kubwa duniani?
Mjomba achana nao hawa machokuvimba wa kwa mfuga mbwa hawana wanachokijuaKama F-35 haina lolote tuonyeshe scenario ni ndege gani ya kuipiga F-35.
Kama manned F-35 iliyoanza kazi 2015 ni upuuzi na drones ndio ujanja, tueleze kwanini hao Wachina unaoonyesha wana swarms of drones bado wanaunda J-20 ambazo ziliikuta F-35 na mwaka huu wamezindua mock up ya Baidi, ambayo probably itakuwa operational miaka ya 2030s na mwaka huu wameonyesha J-35 inakaribia kuingia kwenye matumizi?
Yani kwamba Musk na nyinyi mnajua ndege manned ni upuuzi, kwa kutazama drones za Wachina. Ila Wachina hao mnaotazama drones zao bado wana projects za ndege mannned na stealth 3.
J-20
J-35
Baidu
Nyinyi mnajua stealth fighter yenye rubani ni upuuzi ila Urusi wanaendelea kutoa Su-57 na wana project ya Su-75 itakuwa na rubani na itakuwa kwenye soko kwenye late 2020s au early 2030s.
Kwahiyo Waturuki wanaounda stealth and manned TAI TF Kaan ni viazi, nyinyi wajanja. Wajapan wanaounda Mitsubishi F-X stealth and manned wajinga. Waingereza wanaounda BAE Systems Tempest stealth and manned wapuuzi. South Korea wanaounda stealth & manned KF-21 Boramae wendawazimu.
Nyinyi mmesoma Military Academy gani inayopinga kila jeshi kubwa duniani?
J-35 ina maboresho gani ambayo ni blue print ya f-35 ?Picha linaanza tu F-35 ina shida kwenye engine
Na mpaka leo hakuna maboresho yaliyofanywa kwenye engine
Yote ni blue print ya f-35 hakuna unique hapo juzi kwenye airshow ilikuwa ina mwaga mimoshi halafu haina nusu miezi 3 tangu izinduliwe
Wavimba macho wa kwabibi nyau mnakelele sana
China imechukua vingapi kutoka kwao?Dunia ya sasa iko kwenye innovation mzee
Hujasikia hivi karibuni nchi za Ulaya zinapanga zipate tech transfer ya EVs, EV battery na green tech kutoka China?
F-35 ina miaka mingapi tangu itoke kiwandaniF-35 hiyo hapo ikimwaga moshi engine ni takataka humoView attachment 3161584
Na wewe nionyeshe picha au video ya J-35 yenye engine ya WS-19 au WS-21 ikitoa moshi
J-35 ina maboresho gani ambayo ni blue print ya f-35 ?
Maan juzi tu kwenye airshow aibu tupu
Kama unaona copy na paste rahisi basi fanya na wewe.Hiyo nchi ili tuione inaweza sana igundue technology zake sio kila muda kucopy