Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

Ulimwambia kwa kutumia facts zipi? Ukipinge kitu sababu ya kutokipenda unataka watu wakukubalie tu.
Unapozi diss unatumia grounds zipi? Hivi unaijui F-35 wewe? Au una hata ka Idea ka silaha?
Wewe nipe facts zakusema kwamba F35 ina maajabu saana
 
Maana ya innovation ni kukiendeleza kilichokuwepo Kwa kukiongezea manjonjo na ufanisi zaidi.
Mgunduzi aligundua simu hiyo ni invention,ila wataalamu wakafanya innovation ya smart phones.
Hivi ku innovate smart phone ilikua ni kasi rahisi!??
Agundue vya kwake na yeye aache kudowea
 
Mzee wa kucopy bado sana. Ngoja tusubiri mwakani US atakuja na nini acopy tena
Hao defense contractors wenyewe wa Marekani kwa sehemu kubwa components na parts za kutengeneza silaha na mifumo ya ulinzi, ndege vita, carrriers wanategemea suppliers wa China

20240711_102556.jpg

Picha linaanza tu F-35 ina shida kwenye engine

Na mpaka leo hakuna maboresho yaliyofanywa kwenye engine
Taja ndege isiyo na changamoto au kasoro. F-35 injini zake zina protective coating ya joto kali inayoisha haraka hiyo ndio kasoro kubwa.

Wakati unatutafutia ndege isiyo na kasoro ngoja nikupe kasoro ya ndege nyinginezo zinazoshindana na F-35.

Su-57 mpaka leo haina injini yake, kwahiyo hata matatizo ya injini bado hayajulikani na yatakuwepo tu. Miaka nenda rudi Warusi wanaunda injini na hawafikii breakthrough.

J-20 ilianza inatumia injini ya AL-31 ya Urusi inayoendesha Su-27 (ya miaka ya 1970s uko). Ikaja ikatumia WS-10C ambayo ina underperformance sana, ndio inaiendesha hadi sasa. Ikabidi Wachina waunde injini kwa ajili ya stealth yao, wakaja na injini WS-15 ambayo hadi sasa hawajatumia hivyo matatizo yake bado.

Sasa ndugu Mchina unamchekaje aliyekutangulia kujenga kuwa paa lake linavuja, ilhali bado uko kwenye kujenga boma? Ezeka na wewe tukuone kama mwanaume.
 
Ila wewe kila wazo lako ni sahihi tuanzie hapa kwanza yaani musk aliopo karibu kabisa na system unamsemeaje f 35 hamna maajabu pale mzee niliisema hili miaka kama si mitano basi saba nyuma leo elon nae Katia neno
Braza achana na Musk, toa sababu zako. Onyesha ni wapi F-35 inazidiwa na stealth nyingine. Mbona ngonjera nyingi na hoja hamna.

Musk akisema kuoa ni ujinga kwa sababu hajaoa nawe utakubali kisa Musk kasema. Musk hana nyumba, akisema kujenga nyumba za kuishi ni upuuzi tuwe tunalala store utakubali kisa ni Musk.

Kubali kwa hoja zako, pinga kwa hoja zako. Okay nakurahisishia, leta ndegevita unayoona ni bora
 
Taja ndege isiyo na changamoto au kasoro. F-35 injini zake zina protective coating ya joto kali inayoisha haraka hiyo ndio kasoro kubwa.
🤣🤣🤣

Kwa hiyo umekubali kuwa hilo kopo la Lockheed lina changamoto kwenye engine? Na mpaka leo imewashinda kuboresha si ndio?

Maana ulikuwa unalipa sifa lisilostahili.

Twende mdogomdogo kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake

Kasoro ya pili ni upande wa software. Hilo kopo lina shida sana upande huo tena. Unakubali au unakataa na hapo?
 
Ni beef hilo Mzee siasa mchongo mchafu uzuri huko hutosikia Elon Musk katekwa na wasiojulikana watajulikana ndani ya nusu dakika
Kwani kwenye hiyo video hujawasikia au lugha imekupiga chenga?
 
Kwani kwenye hiyo video hujawasikia au lugha imekupiga chenga?
Nmesemaje huko hakuna PoliCCM wala wale wasiojulikana yaan ukipiga tukio nusu dakika nyingi ndani ya nusu sekunde tu watu washakujua
 
Nmesemaje huko hakuna PoliCCM wala wale wasiojulikana yaan ukipiga tukio nusu dakika nyingi ndani ya nusu sekunde tu watu washakujua
Kwaiyo unaamini Iran ndo waliohusika na majaribio ya kununua Trump?
 
Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu

Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za China zikifanya maneuver angani

View: https://twitter.com/elonmusk/status/1861070432377737269?t=k5Q2yS9RpbgxG3TYbf5Ieg&s=19

View: https://twitter.com/elonmusk/status/1860574377013838033?t=Ml1MLhCcRQCOWiREEHViJA&s=19

View: https://twitter.com/elonmusk/status/1861088922304160167?t=OzL9bKDdUoypZW2qQgjvhQ&s=19

Haya madude ni makopo Lockheed Martin wamepiga pesa wamesepa

Akili kubwa, huku kwetu wasomi wetu project yao kubwa ni kujipendekeza kwa samia na kumrundikia ma degree ya heshima kibao ya sio na maana! Harafu wanaona wame accomplish jambo la maaaana,
Kagame, Uhuru, Mwinyi, Ramaphosa, wamepewa hsyo ma degree ya kipuuzi lini?
 
Mpaka anamaliza atakua amevunja rekodi za Guinness
 
Braza achana na Musk, toa sababu zako. Onyesha ni wapi F-35 inazidiwa na stealth nyingine. Mbona ngonjera nyingi na hoja hamna.

Musk akisema kuoa ni ujinga kwa sababu hajaoa nawe utakubali kisa Musk kasema. Musk hana nyumba, akisema kujenga nyumba za kuishi ni upuuzi tuwe tunalala store utakubali kisa ni Musk.

Kubali kwa hoja zako, pinga kwa hoja zako. Okay nakurahisishia, leta ndegevita unayoona ni bora
Mimi sijamuiga musk sababu hili suala musk kaliongelea juzi na Jana ila mimi nimeliongelea miaka zaidi ya mitano nyuma huko

Kwahio musk kaiga madini tokea kwangu ujue hili kwahio inatakiwa useme mimi nikisema ndoa haifai musk na yeye atasema haifai ingawaje siwezi kukata kitu kama kipo bora lazima niseme hakuna mpaka sasa na nahisi itachukua miaka mingi sana kuja kutokea ndege vita bora kabisa duniani kama f22 achana na hayo makopo kopo yanayoanguka yenyewe yakiguswa na kware tu chini F35 hakuna ndege ni project ya hovyo sana
 
Back
Top Bottom