Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

F-35 ina miaka mingapi tangu itoke kiwandani
Compare na j-35 ambayo juzi tu kwenye airshow yao ilikuwa ina mwaga mimoshi kama mashine ya disel 🤣
Lete video au picha ya J-35 yenye WS-19 au WS-21 inayotoa moshi si ulitaka twende kwa fact

Mimi nimekuletea na video uone gari moshi ya angani F-35 ikimwaga moshi
 
Kama unaona copy na paste rahisi basi fanya na wewe.
Unadhani innovation ni kitu chepesi!?
Kwanza unajua hata maana ya innovation kijana!?
Kwa nini usubiri mwenzako atengeneze nawe ndo unacopy? Siutengeneze ya kwako ya kipekee inayoizidi uwezo unayoiponda?
 
Dunia ya sasa iko kwenye innovation mzee

Hujasikia hivi karibuni nchi za Ulaya zinapanga zipate tech transfer ya EVs, EV battery na green tech kutoka China?
China bado ndio mchafuzi nambari moja wa mazingira ya dunia, anaongoza kuzalisha Carbon dioxide (COâ‚‚), hata hizo EV battery na green tech zake sio malipizi tosha ya uharibifu wa ozone.
 
Kama issue ni kuchukua tu

Mnangoja nini Tanzania na nyinyi kuchukua kama Mchina

Haya mambo msiongee kama mko kwenye vijiwe vya kahawa

Techno know how zinahusika kwenye hizi mambo acheni stori za vijiweni
Jibu swali Tanzania inaingiaje hapa?
 
Hapo ndo inapokuja tofauti ya mmagharibi na hao wengine,,jamaa wana propaganda nzuri kitu cha buku 10 anaweza kukuuzia laki 1 sababu kajua kucheza na akili yako ila mkiingia uwanjani.......
Na waarabu has UAE na saudia rabia ndo wanakopigwa hapo jamaa wana mabillion ya dollar kwenye nchi za magharibi wanachofanya usa ni kudedict to kwenye account zao kitu dollar 200m wanakobrand kwa 1.5b usd na mbwembwe kibao
 
Kwa nini usubiri mwenzako atengeneze nawe ndo unacopy? Siutengeneze ya kwako ya kipekee inayoizidi uwezo unayoiponda?
Maana ya innovation ni kukiendeleza kilichokuwepo Kwa kukiongezea manjonjo na ufanisi zaidi.
Mgunduzi aligundua simu hiyo ni invention,ila wataalamu wakafanya innovation ya smart phones.
Hivi ku innovate smart phone ilikua ni kazi rahisi!??
 
Unategemea asifie wakati anataka kandarasi hiyo hiyo? Lazima ajifanye kuonesha madhaifu ili awe considered. Wafanyabiashara sio wa kuamini when it comes kuwania kazi.
Na mimi lini nilikua naitaka hio kandarasi maana hata mkoko nine sina ila nilikua nasema mara kadhaa hapa kama F35 ndege ya mchongo jengine hata kama wamarekani wajinga hawawezi wakampa elon mradi kisa tu anautaka yeye apige pesa kweli wajinga ila levo hii nadhani hawajafikia bado
 
China bado ndio mchafuzi nambari moja wa mazingira ya dunia, anaongoza kuzalisha Carbon dioxide (COâ‚‚), hata hizo EV battery na green tech zake sio malipizi tosha ya uharibifu wa ozone.
China kafanya jitihada kubwa sana kwenye kuinstall green energy na EVs ili kupunguza uchafuzi na ndio taifa pekee ambalo linazalisha kwa wingi noshati kutoka vyanzo safi kama wind na solar kwa wingi na kayaacha mengine kwa mbali sana hata wakiwa combined together

Marekani akiwa wa pili katika uchafuzi ameonyesha jitihada gani?

Ndio kwanza anaziongezea tariffs bidhaa za green tech kutoka China kama EV na renewable energy equipments

Wakati supply chain kwake inamfanya ashindwe kuzalisha kwa wingi wind turbines, solar panel na EVs
 
Nilikua namueleza sana hili swahiba wangu T14 Armata kwamba F35 pale marekani kapuyanga narudia tena kumwambia katika ndege ambazo marekani kapotena basi ni hayo makopo hayo madege ni buuurree kabisaa ingawaje wamarekani wa jf watapingana mpaka na Elon
Wajinga mmewezwa sana
 
Nilikupa majibu kule ukakimbia. Sasa naona unataka tuanze upya wakati siku zote hujawahi kuonyesha ni wapi F-35 zinapoteza maana. Unatoa maoni kama watoa maoni wengine, huonyeshi how F-35 ni mbovu. Ninazo sababu chungu nzima za kuonyesha ubora wa F-35 huna hata sababu moja ya kuipinga.

Elon Musk sio Mungu kwamba kila wazo lake ni sahihi.
Ila wewe kila wazo lako ni sahihi tuanzie hapa kwanza yaani musk aliopo karibu kabisa na system unamsemeaje f 35 hamna maajabu pale mzee niliisema hili miaka kama si mitano basi saba nyuma leo elon nae Katia neno
 
Back
Top Bottom