Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nakumbuka tulikesha humu kumuelewesha jamaa lakini ni kama alikaza fuvu.Nilikua namueleza sana hili swahiba wangu T14 Armata kwamba F35 pale marekani kapuyanga narudia tena kumwambia katika ndege ambazo marekani kapotena basi ni hayo makopo hayo madege ni buuurree kabisaa ingawaje wamarekani wa jf watapingana mpaka na Elon
Awaita waliotengeneza hizo ndege ni wajinga na wametumia gharama kubwa kutengeneza ndege zilizo complex ni upigaji tu
Anasema kwa sasa future ni kwenye drones huku akionyesha swarm drones za China zikifanya maneuver angani
View: https://twitter.com/elonmusk/status/1861070432377737269?t=k5Q2yS9RpbgxG3TYbf5Ieg&s=19
View: https://twitter.com/elonmusk/status/1860574377013838033?t=Ml1MLhCcRQCOWiREEHViJA&s=19
View: https://twitter.com/elonmusk/status/1861088922304160167?t=OzL9bKDdUoypZW2qQgjvhQ&s=19
Haya madude ni makopo Lockheed Martin wamepiga pesa wamesepa
Elon Musk alitumia mfano wa Wachina walipoonyesha drones ukasema ooh manned fighters hamna kitu sasa ni mwendo wa drones tu.
Leo Wachina haohao walikuwa wanatest stealth jet mpya hata haijazinduliwa na inaendeshwa na rubani.
Xi Jinping
Kwahiyo vipi sasa wewe na Elon Musk mnasemaje. Wachina nao ni wapumbavu ila nyinyi ndio wajanja si ndio?
Elon Musk alitumia demonstration ya drones za Wachina kusema manned fighter jets ni upuuzi na ukamuunga mkono, mkasema vile vidrone ndio future of air warfare.Wachina hawakuwahi kusema hivyo yalikuwa ni maoni yake Musk, ukweli ni kwamba drones zimekuja kuleta challenge kwenye warfare
Project ya China ya 6th generation ipo kwa miaka kadhaa na jana video zilisambaa kwenye mitandao zikionyesha first flight kwa hiyo hawajawahi kusema drones zitareplace fighter jets
Suala la kuendeshwa na rubani au haindeshwi na rubani hatuna jibu kamili kwani hata PLA haijatoa official announcement kuhusu. Cha muhimu fighter Jet successfully made its first flight
Na yako matoleo mawili moja la Chengdu yenye engines 3 na lingine ni Shenyang yenye engines 2
Lets wait for an official announcement
Elon Musk alitumia demonstration ya drones za Wachina kusema manned fighter jets ni upuuzi na ukamuunga mkono, mkasema vile vidrone ndio future of air warfare.
Jana Wachina haohao wameonyesha fighters mbili ambazo sio drones. Nakuuliza swali Wachina nao ni wajinga na wanazidiwa maarifa ya kijeshi na Elon Musk?
Ndio tunarudi palepale kwenye hoja yangu. Elon Musk sio military genius kwamba mtazamo wake ndio uwe mwelekeo sahihi, aliotolea mfano wenyewe wameishaonyesha ndege 3 za majaribio na zina marubani.Wachina sio wajinga, ule ulikuwa tu ni mtazamo wa Elon Musk alitumia tu drones za Wachina