Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Marekani hataki watu wanunue silaha nje ya za kwake na ndio maana baada ya turkey kununua s4 kule Russia wakaanza kumpiga sana spana za kila namna walau kwa China anajua vikwazo kwake sio tatizo hao wengine hawawezi kuhimili vikwazo na ndio maana unaona kwa hila silaha za Russia zinapigwa kumbo na za Marekani mpaka leo Iran anashindwa kupewa silaha na Russia sababu ya vikwazo kadhaa kujitoa kwenye mradi ni mambo ya kawaida sana mbona hata Australia 🇦🇺 walijitoa kwenye mradi wa mabilioni ya dola ya nyambizi za ufaransa mpaka ukataka leta mgogoro wa kidiplomasia baina ya marekani na ufaransa au na wao Australia 🇦🇺 waliona kama hizo nyambizi hazina injini ndio maana wakajitoaUrusi kwanini isiuze kwa mashosti zake au haina? Kwanini unalalamikia Marekani kuuzia mashosti as if Urusi inakatazwa kuwa na mashosti wenye hela😂
Wateja wakubwa wa ndege za Urusi ni China, India, Algeria, Misri. Hawa wamenunua ndege Urusi. Bado kina Syria, North Korea, Sudan, Ethiopia na wengine wengi wana Soviet made jets.
Kwanini Su-57 idode kuuzwa kwao.
Kwanini India ilijitoa kwenye mradi wa Su-57 ikakimbia na hela zake ikaiacha Urusi peke yake. India walisoma haraka wakajua hamna ndege ya maana pale, mwaka wa ngapi huu ndege haina injini yake.