Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #141
Ndugu Mchina, kopo la Kichina halina hata injini. Hustahili kuwa kwenye mjadala huu.
Kwa nini defense contractors wa F-35 wanakimbia kuzirekebisha engine mpaka leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu Mchina, kopo la Kichina halina hata injini. Hustahili kuwa kwenye mjadala huu.
Hakuna ndege isiyoanguka.Hilo hapo kopo F-35 likianguka kwa sababu ya software issues. Halafu nikusikie ukibwabwaja tena eti hakuna ndege ina software bora zaidi ya F-35
View attachment 3161967
Hapa Lockheed waliingiza chaka Pentagon
Endless comedy of errors 🤣
Exactly. Hiyo ni biashara tena mfahamishe huyo bwana kwamba ni Ushindani na Biashara bila matangazo haiendi.Huyo anataka hiyo kandarasi. Wewe endelea kupiga porojo.
Sasa kumbe majibu ya kwanini f 35 imenunuliwa zaidi unayo mpaka na ya ziada mzee na hizo ndio sababu za kwanini ndege za F35 zimenunuliwa zaidi na wala sio sababu ya ubora na kuhakikisha leo hii f f22 ikitolewa zuio la kuuzwa na marekani ingawaje ni ndege ya muda ila itauza na kuzipiku oda zote za F35Nitajie Urusi au China au North Korea imenunua silaha gani ya Western. Kwanini unataka Ulaya inunue silaha Urusi, na Urusi hainunui silaha Ulaya.
Ulaya wasiponunua F-35 kwa Urusi, watanunua stealth fighter gani. Su-57 haina injini, Ulaya watanunua ndege haina injini???
J-35 ni ndege ya maonyesho mpaka sasa hata Wachina hawana hata moja jeshini.
J-20 haiuzwi, sasa Ulaya watanunuaje ndege haiko sokoni.
Zilizobaki ni 4th generation ambazo sio za China au Urusi tu, hata Saab JAS 39 Gripen ya Sweden huwa inashindwa tenda ikikutana na F-35.
Rafale ya Ufaransa ina bei kuzidi F-35 ila sio stealth, Eurofighter Typhoon ina bei kuzidi F-35 ila sio stealth na inazidiwa sana tech.
Kwa upande wa Uturuki, AD systems na fighters inabidi zitambuane kwa IFF ili zisishambuliane. Hivyo kulikuwa na ulazima S-400 na F-35 zifungiwe mifumo ya kusomana jambo ambalo halitakiwi. Uturuki ilikuwa na crew ya Warusi ndio watafunga mifumo na ndio watakuwa wanasoma data. Iambie Urusi mifumo ya S-400 isomwe na NATO uone kama itakubali. Common sense tu
Kuanguka ndege kawaida ila maanguko ya F35 yamekuwa too much yaani miaka mitano ama minne huko nyuma zilikua zinajidondokea tu kama maembe yaliokwisha kwiva zishaanguka ndege zaidi ya 29Hakuna ndege isiyoanguka.
F-35 ni mojawapo ya safest fighter jets duniani. Soma data za crash rate uilinganishe na ndege yeyote.
Vipi J-35 ya Mchina inatoka lini kwenye maonyesho na kuwa peoduced na introduced jeshini.
🤣 🤣 🤣 🤣Hakuna ndege isiyoanguka.
F-35 ni mojawapo ya safest fighter jets duniani. Soma data za crash rate uilinganishe na ndege yeyote.
Vipi J-35 ya Mchina inatoka lini kwenye maonyesho na kuwa peoduced na introduced jeshini.
Not operational. Kwenye madaftari ipo ila ni squadron gani ina ndege zenye WS-19E?Unaijua WS-19E
Kwenye madaftari sawa. Kwenye operation hamna kitu kinaitwa WS-21E.WS-21E?
Hakuna ndeye ya Urusi ina flight to crash ratio nzuri kuliko F-35. Kama F-35 ni mbovu na inatakiwa iondolewe basi Urusi wanatakiwa watupe ndege zao zote.Kuanguka ndege kawaida ila maanguko ya F35 yamekuwa too much yaani miaka mitano ama minne huko nyuma zilikua zinajidondokea tu kama maembe yaliokwisha kwiva zishaanguka ndege zaidi ya 29
Kama ukraine anaavyopambana na Hezbollah bila infantry anaishia kuripua majengo kuua unarmed civilian na watotoNi sawa na mtu aseme unateka ardhi bila infantry ndege vita zitabaki kuwa na umuhimu wake kwenye battle ground
Kwanini Su-57 haijanunuliwa na iko sokoni?Sasa kumbe majibu ya kwanini f 35 imenunuliwa zaidi unayo mpaka na ya ziada mzee na hizo ndio sababu za kwanini ndege za F35 zimenunuliwa zaidi na wala sio sababu ya ubora na kuhakikisha leo hii f f22 ikitolewa zuio la kuuzwa na marekani ingawaje ni ndege ya muda ila itauza na kuzipiku oda zote za F35
J-35 inatoka lini kwenye maonyesho?🤣 🤣 🤣 🤣
Kwa hiyo kwa mara nyingine tena tunakubalina kasoro ya pili ya F-35 ni software issues ndiyo maana yanajidondokea tu
Ya kwanza tuliona engine ambayo mpaka leo haijafanyiwa maboresho
Vipi nije na kasoro ya tatu au tupumzike kwanza tuendelee na majukumu mengine?
Kwanini China haijatoa J-35 inaipigia picha tu na kuizungusha kwa waandishi wa habari kisha inairudisha karakana?Kwa nini defense contractors wa F-35 wanakimbia kuzirekebisha engine mpaka leo?
F35 inabebwa na uwingi wake tu wangekua na idadi sawa na ndege za Russia ya kizazi sawa wasingekua na ndege hizo tena leta namba pia zingatia matoleo yote ya F35Hakuna ndeye ya Urusi ina flight to crash ratio nzuri kuliko F-35. Kama F-35 ni mbovu na inatakiwa iondolewe basi Urusi wanatakiwa watupe ndege zao zote.
Twende kwa namba nikukimbize
Inanunuliwa nanani na wateja wakubwa wote kama sio wengi ni mashost zake na marekaniKwanini Su-57 haijanunuliwa na iko sokoni?
Huo ubovu wa F35 Elon Musk hajalinganisha na ndege nyingine; yeye kalinganisha na standard za kimarekani. Na ukimsoma between the lines anamaanisha they could do better than what they did.Hakuna ndeye ya Urusi ina flight to crash ratio nzuri kuliko F-35. Kama F-35 ni mbovu na inatakiwa iondolewe basi Urusi wanatakiwa watupe ndege zao zote.
Twende kwa namba nikukimbize
Yeye mwenyewe ni mmoja wa madoni wa Silaha apo marekaniMadon wa silaha Marekani ni kina nani? Unaweza kumtaja hata "don" mmoja wa silaha wa Marekani ?
Alichosema ni kweli au uongo?Nilisifu Elon Musk kwenye SpaceX, hii mada ni ya SpaceX?
Nikisifia Magufuli kujenga SGR, ni lazima nimsifie na aliposema upinzani unatuchelewesha, au aliposema wananchi wafyatue watoto elimu ni bure?
Urusi kwanini isiuze kwa mashosti zake au haina? Kwanini unalalamikia Marekani kuuzia mashosti as if Urusi inakatazwa kuwa na mashosti wenye hela😂Inanunuliwa nanani na wateja wakubwa wote kama sio wengi ni mashost zake na marekani
Kwa wingi F-16 ni nyingi kuliko F-35.F35 inabebwa na uwingi wake tu wangekua na idadi sawa na ndege za Russia ya kizazi sawa wasingekua na ndege hizo tena leta namba pia zingatia matoleo yote ya F35