Elon Musk: My wife is a Robot

Huu ni uzushi. Siyo kweli.
 
Ukiangalia akili za wanawake wengi japo sio wote ni bora ukaoa hizo robots, wengi wa wanawake akili hamna ukimuoa kama unapesa atakuendea kwa sangoma akupoze akili uwe chini yake kama kandondocha fulani, aaaah ngoja yaje tu hayo marobots tutayaoa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hasira hizi mtavunja mishipa ya degedo na ma robot 🤣🤣🤣🤣
 
Aiiiiiiii naona mkijizima data na kujiliwaza kuwa mmepona majukumu?

Robots wakawazalie na watoto, ila najua wanaume wa ukweli wanao mcha Mungu watabaki na sisi.
Aiiiiiiii naona mkijizima data na kujiliwaza kuwa mmepona majukumu?

Robots wakawazalie na watoto, ila najua wanaume wa ukweli wanao mcha Mungu watabaki na sisi.
Mimi ntabaki na wewe dear Sina hela za robot 😆😆
 
Yote hayo musk kayazingatia.

Robot oyeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…