Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saivi ni Twitter Complaint Hotline OperatorKatimua bodi yote ya wakurugenzi na yeye mwenyewe ndiye mkurugenzi pekee!
Hajatangaza badoNi swala la muda
Aliowatimua wataanzisha tweeter nyingine na hii itakufa kifo cha mende
Anajitoa ufahamu wenzie wanamuangalia tu.
Mark utajiri wake umeshuka kwa dollar billion 70, thamani ya meta kwenye soko la hisa inaanguka kila siku, amejiingiza kwenye metaverse kiasi kwamba watu wengi akiwemo wafanyakazi wa meta wanaona kama wanapotea.Biashara kama hizi Elon angemwachia Mark coz anajua nini anafanya
Kama Elon angejua nini anafanya , basi wasingeiuza PayPal , ili iwe baba wa online payment
Sio rahisi Kama unavyofikiriNi swala la muda
Aliowatimua wataanzisha tweeter nyingine na hii itakufa kifo cha mende
Anajitoa ufahamu wenzie wanamuangalia tu.
THATS IS STRATEGIC FITLazima arudishe pesa zake...
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia Ndo hicho haswa nilikuwa nang'ang'ania, kuhangaika na kusumbuka kutafuta.We ni mjinga kabisa bora ungenyamaza
Tafuta wewe hela usaidie afrika
Nawachapishia ili mulipie hizo blue tickPro Russia unaeichukia Marekani unapataje ujasiri wa kuchapisha habari ya marekani usiyoipenda ningetegemea utuletee habari za urussi nchi unayoipenda sana
Wapo wana kagroup kao kule telegram wamo kama 2000+ wanatafuta mwanasheria awasaidie warejeshewe billion 5 zao...
Huyo mwenye mbwembwe si ndio tajiri wa kwanza wa dunia.Elon ana hiyo kashfa ya kuwafanyisha kazi employees wake to the breaking point we muache tu, ngoma ikivuma sana inachanikq
Mwenzie Lex Luthor (Bezos) mbona hana mbwembwe sana
Hahaha...huyu huyu mark anayefirisika? Hisa za meta zinashuka kila siku?Biashara kama hizi Elon angemwachia Mark coz anajua nini anafanya
Kama Elon angejua nini anafanya , basi wasingeiuza PayPal , ili iwe baba wa online payment
Na huu uchawi wako ndio sababu Africa haiendeleiHili lifreemason lililokubuhu halina shukran na fadhila kwenye bara lililomleta duniani kumlea nakumfanya awepo alipo hapo leo. Angalau angeanzisha viwanda vya space x na tesla Africa ili watu wapate ajira. Ama agawe msaada wa dolla billion 100 katika bara letu.
Pia aajiri nusu ya bodi ya Twitter wamatumbi.
Hana msaada wowote kwetu. Msimjadili, kumshobokea na kumshadadadia.
Na sasa hivi waafrika tuwe wachoyo. Tusiwe wakarimu kwa kukaribisha na kuruhusu wageni barani kwetu kuja kuzaa vitoto vya ajabu na kiherehere vikishakuwa na kufanikiwa vinatoroka na nyota zetu nakutusahau.
Naomba kabisa Twitter ifail pamoja na mitesla huko
Yani wabongo wengi uwezo wa kufikiri mdogo sana...Sasa kama ni rahisi ivyo kuanzisha twitter nyingine, kwanini Musk alitoa hiyo $44B kuinunua twitter? Si angetengeneza twitter yake mwenyewe kwa $ 1B??Sio rahisi Kama unavyofikiri
Hahaha...huyu huyu mark anayefirisika? Hisa za meta zinashuka kila siku?
Kashfa za kutojali privacy zimamwaribia mpaka advertisers wamemkimbia?
Huyuhuyu anayemwaga hela zote za kampuni kwenye project ya VR ambayo haioneshi mafanikio yoyote??
Kama hujui Mark anaelekea kupotea na kufirisika kabisa...Karata zake zote saivi anazitupankwenye VR metaverse, ikifeli metaverse basi ujue ndo Mark bye bye.