Hili lifreemason lililokubuhu halina shukran na fadhila kwenye bara lililomleta duniani kumlea nakumfanya awepo alipo hapo leo. Angalau angeanzisha viwanda vya space x na tesla Africa ili watu wapate ajira. Ama agawe msaada wa dolla billion 100 katika bara letu.
Pia aajiri nusu ya bodi ya Twitter wamatumbi.
Hana msaada wowote kwetu. Msimjadili, kumshobokea na kumshadadadia.
Na sasa hivi waafrika tuwe wachoyo. Tusiwe wakarimu kwa kukaribisha na kuruhusu wageni barani kwetu kuja kuzaa vitoto vya ajabu na kiherehere vikishakuwa na kufanikiwa vinatoroka na nyota zetu nakutusahau.
Naomba kabisa Twitter ifail pamoja na mitesla huko