mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hiyo blue tick mtu huipata kwa kigezo kipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Musk sahivi na hio Meta hali mbayaBiashara kama hizi Elon angemwachia Mark coz anajua nini anafanya
Kama Elon angejua nini anafanya , basi wasingeiuza PayPal , ili iwe baba wa online payment
Sio ni akili yako tu mkuu, ukweli ni kwamba hao matajiri wa 🇺🇸 wanatumika na serikali na chombo chake pendwa cha kimataifa CIAInaangushaje falme mkuu? Maana kiukweli sijui kwanini mimi akili yangu inaniambia Kuna watu nyuma ya Elon musk kwenye umiliki wa tweeter
Ego inazidi kukua yaani leo ukifaki demu fulani kesho tamaa itadabo itataka ule wawili zaidi na zaidiHayo ndiyo mateso ya pesa! hata mtu akiwa nazo nyingi bado atahitaji kuwa na nyingi zaidi!
Mauzo ya Paypal ndio yaliyozaa Space X na Tesla.Biashara kama hizi Elon angemwachia Mark coz anajua nini anafanya
Kama Elon angejua nini anafanya , basi wasingeiuza PayPal , ili iwe baba wa online payment
But Kama PayPal ingekuwa ni baba wa online payment kama Google ilivyo baba wa Search Engine basi wangepiga pesa mingi zaidi ya hiyo.Mauzo ya Paypal ndio yaliyozaa Space X na Tesla.
It was worth it!
Kwani zinapatikanaje...?Na blue tick za Jf zilipiwe pia
Unaziomba mkuu,click menu ya account yako utapata maelezoKwani zinapatikanaje...?
Unajua mark sahv amedrop sana kifedha?Facebook pasua kichwa sanaBiashara kama hizi Elon angemwachia Mark coz anajua nini anafanya
Kama Elon angejua nini anafanya , basi wasingeiuza PayPal , ili iwe baba wa online payment
We ni mjinga kabisa bora ungenyamaza.Hili lifreemason lililokubuhu halina shukran na fadhila kwenye bara lililomleta duniani kumlea nakumfanya awepo alipo hapo leo. Angalau angeanzisha viwanda vya space x na tesla Africa ili watu wapate ajira. Ama agawe msaada wa dolla billion 100 katika bara letu...