Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

Biashara kama hizi Elon angemwachia Mark coz anajua nini anafanya
Kama Elon angejua nini anafanya , basi wasingeiuza PayPal , ili iwe baba wa online payment
 
Hili lifreemason lililokubuhu halina shukran na fadhila kwenye bara lililomleta duniani kumlea nakumfanya awepo alipo hapo leo. Angalau angeanzisha viwanda vya space x na tesla Africa ili watu wapate ajira. Ama agawe msaada wa dolla billion 100 katika bara letu.

Pia aajiri nusu ya bodi ya Twitter wamatumbi.

Hana msaada wowote kwetu. Msimjadili, kumshobokea na kumshadadadia.

Na sasa hivi waafrika tuwe wachoyo. Tusiwe wakarimu kwa kukaribisha na kuruhusu wageni barani kwetu kuja kuzaa vitoto vya ajabu na kiherehere vikishakuwa na kufanikiwa vinatoroka na nyota zetu nakutusahau.

Naomba kabisa Twitter ifail pamoja na mitesla huko
 
Ni vigumu kwa matajiri kuingia kwenye ufalme Mungu.
 
Biashara kama hizi Elon angemwachia Mark coz anajua nini anafanya
Kama Elon angejua nini anafanya , basi wasingeiuza PayPal , ili iwe baba wa online payment
Musk sahivi na hio Meta hali mbaya
 
Inaangushaje falme mkuu? Maana kiukweli sijui kwanini mimi akili yangu inaniambia Kuna watu nyuma ya Elon musk kwenye umiliki wa tweeter
Sio ni akili yako tu mkuu, ukweli ni kwamba hao matajiri wa 🇺🇸 wanatumika na serikali na chombo chake pendwa cha kimataifa CIA
 
Biashara kama hizi Elon angemwachia Mark coz anajua nini anafanya
Kama Elon angejua nini anafanya , basi wasingeiuza PayPal , ili iwe baba wa online payment
Mauzo ya Paypal ndio yaliyozaa Space X na Tesla.

It was worth it!
 
Mauzo ya Paypal ndio yaliyozaa Space X na Tesla.

It was worth it!
But Kama PayPal ingekuwa ni baba wa online payment kama Google ilivyo baba wa Search Engine basi wangepiga pesa mingi zaidi ya hiyo.
 
Biashara kama hizi Elon angemwachia Mark coz anajua nini anafanya
Kama Elon angejua nini anafanya , basi wasingeiuza PayPal , ili iwe baba wa online payment
Unajua mark sahv amedrop sana kifedha?Facebook pasua kichwa sana
 
Hili lifreemason lililokubuhu halina shukran na fadhila kwenye bara lililomleta duniani kumlea nakumfanya awepo alipo hapo leo. Angalau angeanzisha viwanda vya space x na tesla Africa ili watu wapate ajira. Ama agawe msaada wa dolla billion 100 katika bara letu...
We ni mjinga kabisa bora ungenyamaza.

Tafuta wewe hela usaidie afrika
 
Back
Top Bottom