Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

Umelewa?
 
Tafuta zako ukagawe
 
Ni swala la muda
Aliowatimua wataanzisha tweeter nyingine na hii itakufa kifo cha mende
Anajitoa ufahamu wenzie wanamuangalia tu.
Twitter haifi kirahisi hivyo.
 
Ni swala la muda
Aliowatimua wataanzisha twitter nyingine na hii itakufa kifo cha mende
Anajitoa ufahamu wenzie wanamuangalia tu.
Unaijua historia ya twitter?


Kwa taarifa yako, hapo twitter waliwahi hadi kutimuliwa founders wenyewe akina Jack Dorsey, na twitter haikufa!

Ndio ije kua hawa CEO na COO?


UBER pia walimtimua founder wao, na kampuni haikufa. Steve Jobs pia aliwahi kutimuliwa Apple, na kampuni haikufa. Hilo unalolisema wewe ni dua la kuku asee!


Wazungu sio wajinga!
 
Wale mliotubeza tuliposema huyu ana utoto mwingi ataanza kuonja joto la jiwe
Haya huko wamesema ‘He is not above the Law’
Kunatokota
Elements za kibaguzi zinamsumbua sana.
USA sio South Africa akumbuke hilo…
Kuna social media inakuja kuizidi Twitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…