Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Yani badala ya hips na mzigo ndo nishike hayo machuma?? Hata wakiweka ngoz mzigo OG ni OG mazee sijashawishika, na likikupiga shoti katikati ya mjegejo? Me bado team human mbususu sanaa
Ghafla linakupiga shoti kisha linakupelekea moto kwenye puru lako kupitia vidole vyake bandia [emoji847]


Hapo ndipo utapokumbuka ile kauli ya "Mungu hadhihakiwi"
 
Kuna watu wanaonekana kama watu kama sisi lakini kusema kweli ni mapepo yaliyovaa mwili wa binadamu! Nina wasi wasi mkubwa sana na watu kama Elon Musk, Bill Gates kama ni watu wa kawaida!
Kabisa, Lucifer atakuwa alipandikiza mbegu zake miilini mwao, ukijagundua uchafu anaoufanya huyo BG nnje ya pazia ni hatari kuliko hata Boko Haram [emoji57][emoji848]
 


Vipi maoni ya timu mbili; Kubali ndoa na kataa ndoa??
 
Hela yako tu unatengenezewa unavyotaka.
God's creature Vs Man made haviwezi kulingana kamwe kwa ladha, uzuri hata mvuto.

Niko radhi kabisa niwe mshamba kukubaliana na huo ujinga wa Wazungu, nimekaa pale [emoji142]
 
Umekumbukwa wapi unayo hiyo pesa mkuu, si ukate 1m mahali ugonge bila password
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…