Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Waimbaji wa nyimbo za Injili waendelea kuchafua tasnia ya nyimbo za Injili kwa kuharibikiwa kila kukicha hasa katika maswala ya ngono Tata
Hivi karibuni tumesikia mwimbaji wa Injili Martha Mwaipaja katika sakata lake la kujihusisha na uchafu wa ngono tata zisizohusisha jinsia mbili tofauti kwa madai ya kuwa anaishi na binti mdogo kwa lengo la kukidhi haja zake
Nchini Kenya anatokea mwimbaji wa kiume mwenye tabia za kike zinazowapa watu maswali mengi yasiyo na majibu
Hii ni dhahiri kuwa baadhi ya waimbaji wa gospel wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wala hawana jicho la aibu kwa Mungu wanayejifanya wanamtumikia
Ushahidi wa kashfa hii unapatikana katika channel yamwimbaji huyu
View: https://youtu.be/acocLhPZ9M0?si=W5UVqKbYp_S_7WYz