Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Umepatia mkuuSasa Maisha club nimebugi wapi?unajua shule ya sekondari Oysterbay ilipo?ngoja nikuelekeze utaelewa tu,ukitoka St.Peter kabla mataa ambayo sasa hayapo unanyoosha hiyo barabara kuna hotel jina limenitoka sasa kabla hujafika hicho kilima na kabla ya kituo cha mafuta Puma na ni upande huo huo wa shell ndipo maisha ilipo,kuna watu watasaidia ninachokwambia.
May be angesema Maisha Basement pengine jamaa angepataMaisha club imehama muda mrefu mkuu...ipo jengo jipya nyuma ya millenium tower hapo makumbusho inaitwa MAISHA BASEMENT
Hii ni 2016 na tatizo liko pale pale
cc Faiza Foxyjamani tusiharubu matumizi ya lugha pendwa ya kiswahili, hapo kwenye red usahihi ni HAWANA SIYO AWANA, NI HATA NA SIYO ATA, ATA NI UNGA WA NGANO WENYE RANGI YA BROWN
TUENZI LUGHA KWA KUANDIKA SAHIHI
usijali, hata mimi nitajitahidi KUTOHARUBU matumizi ya lugha pendwa.
Na wewe Mkuu umekuwa mfukunyuzi siku hizi. Inasikitisha sana kuona mahali pazuri kama pale pakiachwa paharibike kwa miaka yote hii.
Ndio. Ipo sehemu gani?Ni Motel Agip Mkuu.
Pamba Road nadhani
Ni Motel Agip Mkuu.
Haya bhana. Ila umenipoteza sana.
Labda unielekeze kwa maghorofa. Zaidi ya morogoro road, mandela, sam nujoma, alhasani mwinyi, nyngine sizijui.
Nimekupata. Shukrani.Sijui hali ikoje sasa maana mara ya mwisho huko mjini nilifika mwaka 2002. Nitajaribu kukuelekeza kidogo, ni nyuma ya New Africa Hotel.
Yaani ukiwa Pale askari monument Samora Avenue na Azikiwe Street fuata hiyo Samora Avenue kuelekea Bima kitega uchumi barabara ya kwanza utakayoiona ndio Pamba Road, kushoto kwako kuna benk NMB au NBC, kulia kwako kuna jengo kubwa ilikuwa Bima (NIC)makao makuu,mbele yako kulia kuvuka hiyo barabara kuna kituo cha mafuta. Hiyo pamba road nyuma ya hilo jengo la bima ndipo ilipokuwa Motel Agip ambapo jirani yake kuna kituo cha mafuta, enzi hizo kikiitwa Agip.
H
Best western hotel mkuu
Uzio wa Bati bado upon man.[/QUOTE][QUOTE"chige, post: 15385334, member: 20171"]Sija-pay attention pande hizo lakini nashangaa kusikia kumbe bado Embassy ni gofu manake tangu wazungushie uzio wa mabati inakimbilia ama imeshatimia miaka 3!
Mliopo online msaada tafadhaliKumbaKumba.....kuna moja lilikua linaendeshwa na mzungu....Tunapanda kwa foleni hakuna vikumbo