Embassy Hotel na Motel Agip: Nini hasa kilitokea?

Embassy Hotel na Motel Agip: Nini hasa kilitokea?

Inasikitisha leo Embassy Hotel imekuwa gofu.
Mwaka 1987 nililala hapo ilikuwa na heshima kubwa duu na kweli waafrika hatuthamini vitu leo kama ni wenzetu ingekuwa the best hotels in Africa
 
Sasa Maisha club nimebugi wapi?unajua shule ya sekondari Oysterbay ilipo?ngoja nikuelekeze utaelewa tu,ukitoka St.Peter kabla mataa ambayo sasa hayapo unanyoosha hiyo barabara kuna hotel jina limenitoka sasa kabla hujafika hicho kilima na kabla ya kituo cha mafuta Puma na ni upande huo huo wa shell ndipo maisha ilipo,kuna watu watasaidia ninachokwambia.
Umepatia mkuu
Hicho kilima nyege sisi tu tulikitunga miaka hiyo ya 90.
Waliosoma obey wanajua
Mkuu wa chule alikua mama Ng'ambi.
Vuruga sana mitaa hiyo kitambo.
 
Na wewe Mkuu umekuwa mfukunyuzi siku hizi. Inasikitisha sana kuona mahali pazuri kama pale pakiachwa paharibike kwa miaka yote hii.

Hii ni 2016 na tatizo liko pale pale
 
Uliyetoa wazo la hostel umepatia tatizo 10% haitakuwepo means haiwezekani
 
Na wewe Mkuu umekuwa mfukunyuzi siku hizi. Inasikitisha sana kuona mahali pazuri kama pale pakiachwa paharibike kwa miaka yote hii.

Hiyo hotel Agip ipo sehemu gani jijini hapa?
 
Pamba Road nadhani

Haya bhana. Ila umenipoteza sana.
Labda unielekeze kwa maghorofa. Zaidi ya morogoro road, mandela, sam nujoma, alhasani mwinyi, nyngine sizijui.
 
Haya majengo ya binafsi na kulikua na kesi za umiliki. Kesi zao zimeisha na alie nazo sasa ni jamaa wa kunduchi beach..ila hana ubavu wa kuziendeleza kwa sasa hivyo yamebaki kuwa magofu.
Nadhani serikali wawape ultimatum kuziendeleza au wazitoe kwa wawekezaji..uchafu unaharibu mji.
Wambiwe tu ziendelezeni watu wapate ajira na kodi...au itazitaifisha...na kuwalipa fidia
 
Ni Motel Agip Mkuu.
Haya bhana. Ila umenipoteza sana.
Labda unielekeze kwa maghorofa. Zaidi ya morogoro road, mandela, sam nujoma, alhasani mwinyi, nyngine sizijui.

Sijui hali ikoje sasa maana mara ya mwisho huko mjini nilifika mwaka 2002. Nitajaribu kukuelekeza kidogo, ni nyuma ya New Africa Hotel.
Yaani ukiwa Pale askari monument Samora Avenue na Azikiwe Street fuata hiyo Samora Avenue kuelekea Bima kitega uchumi barabara ya kwanza utakayoiona ndio Pamba Road, kushoto kwako kuna benk NMB au NBC, kulia kwako kuna jengo kubwa ilikuwa Bima (NIC)makao makuu,mbele yako kulia kuvuka hiyo barabara kuna kituo cha mafuta. Hiyo pamba road nyuma ya hilo jengo la bima ndipo ilipokuwa Motel Agip ambapo jirani yake kuna kituo cha mafuta, enzi hizo kikiitwa Agip.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Nimekupata. Shukrani.
 
Aiseee anayejua zilipo Ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Ilala anielekeze,mie nipo Kimara.
 
H

Best western hotel mkuu

[QUOTE"chige, post: 15385334, member: 20171"]Sija-pay attention pande hizo lakini nashangaa kusikia kumbe bado Embassy ni gofu manake tangu wazungushie uzio wa mabati inakimbilia ama imeshatimia miaka 3!
Uzio wa Bati bado upon man.[/QUOTE]

KumbaKumba.....kuna moja lilikua linaendeshwa na mzungu....Tunapanda kwa foleni hakuna vikumbo
Mliopo online msaada tafadhali

Aiseee anayejua zilipo Ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Ilala anielekeze,mie nipo Kimara.
 
ukiishi dar ndo uijue maisha ilipo, wengine walemavu wa macho hawaoni
 
Back
Top Bottom