Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Atakuja mtu kusema ni chimbo la kitengo kufanya yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua anko alimpendaje huyu dadaPoor management nayo ilichangia,nakumbuka kuna mrembo alikuwa reception mid 90s alikuwa mpigaji mzuri sana wa dola na kupangisha vyumba akishirikiana na walinzi.
imagine mshahara wake ulikuwa elfu themanini lakini alikuwa anarudi home na kama laki nne kwa siku baadaye mkinga wa Peacock akamchukua.
pale napo akapiga sana na hivi mkinga alikuwa mshamba anamwambia usichukue malipo kwa dolaaa ndiyo akapata mwanya mwingine wa kupiga.RIP Dada Uncle wangu alikupenda sana.
Kuna tetesi kuwa ilikuwa mojawapo ya "straw company" ya kitengo chetu pendwa.Nipo hapa mitaa posta mpya najaribu kuvuta siku ipite kutafuta riziki, maana kuna usemi wa wahenga unasema riziki ya mbwa ipo miguuni kwake.
Sasa ndugu zangu nimegeuza macho naona hili jengo naambiwa ilikuwa hotel moja kali sana miaka ya 80 kwa jina Embassy Hotel Dar es salaam, Lakini hapa kuna uzio wa mabati na nikicheki kupitia madirishani naona makorokoro kama viti, meza makochi nk.
Hili eneo ni very potential, wakongwe tujuzeni kuna nini kuhusu hii Hotel iliyotamba mno miaka hiyo leo kugeuka na kuwa kiota cha bundi?
Ni hayo tu kwa asubuhi hii.
Kariakoo sehemu iliyokuwa na machinga ni mtaa wa Kongo tu. Na walikuwa hawapangi vitu chini bali walikuwa wanashika mikononi.Hata kariakoo hakukua na machinga, maana walikua wanawindwa na migambo wa city.
Ni nani mmiliki wa sasa? Na kwanini hapaendelezwi wakati ni eneo zuri tu?Kwa kweli imebaki Gofu tu... Hakuna Hata anayejishughulisha na hiyo Hotel....
Inasikitisha.....
Asante, huu ndiyo msingi wa hoja yangu...wakongwe tusaidieni majibu.Ni nani mmiliki wa sasa? Na kwanini hapaendelezwi wakati ni eneo zuri tu?
Umeshaambiwa ilinunuliwa na wamiliki wa wet n wildAsante, huu ndiyo msingi wa hoja yangu...wakongwe tusaidieni majibu.
Tungempata huyo mmiliki wa sasa na kwa nini hapaendelezi, alinunua mwaka gani kwa kiasi gani cha pesa - ingetusaidia sana kupata pa kuanzia.Umeshaambiwa ilinunuliwa na wamiliki wa wet n wild
Kuna wakati ilitekwa pia, baada ya media kuhoji sana ilidaiwa kuridishwa lakini hakuna ushahidi.Nasubiri nione Ngorongoro mountain lodge itaangukia wapi?.
Ukitaka kupata undani wa Embassy Hotel ingia kwa gia ya kutaka kuwekeza hapo, anzia TIC.Tungempata huyo mmiliki wa sasa na kwa nini hapaendelezi, alinunua mwaka gani kwa kiasi gani cha pesa - ingetusaidia sana kupata pa kuanzia.
Ni kati ya mali za umma zilizoangukia mikononi mwa mafisadi. Maamuzi ya kuziendeleza yalikwama siku nyingi kwa sababu wahusika wakuu kwenye huo mgogoro ni wakubwa tu wenye maslahi yao ambao waliishastaafu.
Siyo hiyo tu, Kuna nyingine mbili zilizokuwa Icône ya Jiji .... Twiga Hotel na Motel Agip zote zimebakia kuwa magofu ya Serikali....Skyway Continental zote zimebaki majina tu.
Utaambiwa mmiliki ni mkulima ufuta huko Singida na jina utapewa kumbe wadau wako humu humu mjini. Huwa hawaweki majina yao kwenye dili kama hizo.Ukitaka kupata undani wa Embassy Hotel ingia kwa gia ya kutaka kuwekeza hapo, anzia TIC.
Bado ipo mikononi mwa serikali ila ni dhoofu, but kiukweli ile hoteli is one of the best hotel iliyopo eneo lile ndiyo mwana mapaka wana dondosha udenda.Kuna wakati ilitekwa pia, baada ya media kuhoji sana ilidaiwa kuridishwa lakini hakuna ushahidi.
Ile hotel ya Ngorongoro ilijengwa kwa mbinde enzi za Nyerere, kulikuwa na upinzani mkubwa wa wanamazingira wakati huo kuwa uwepo wa hoteli ya kitalii mbugani utakuja kuathiri bioanuai ya viumbe. Ukilinganisha nguvu iliyotumika kuitetea mpaka ikajengwa na ufanisi na mapato yatokanayo na mradi ni viwili tofauti....Bado ipo mikononi mwa serikali ila ni dhoofu, but kiukweli ile hoteli is one of the best hotel iliyopo eneo lile ndiyo mwana mapaka wana dondosha udenda.
Yule jirani yake pale anaroom mpaka 10mil per night ila kwa ustadi hii yetu bado ipo matawi.
Mkuu hiyo hotel haikufa enzi za umiliki wa serikali enzi za ujamaa.Hivyo vyote ni kumbukumbu ya ubaya wa ujamaa? Serikali haiwezi kumiliki biashara. Watafaidika wachache wanaoziendesha.