Uchaguzi 2020 Embu tuambizane ukweli, CHADEMA inatumia kigezo gani kusema itashinda?

Uko na uhakika hao wanachama wataipigia kura CCM pia hakuna ambao wamekumbana na mambo ya vyeti feki, na wale wa UDOM kuitwa vilaza na mambo mengine kadha wa kadha hivi mnawaza kwamba wao ni waaminifu kwa kiwango cha SGR au mbona 2015 wapiga kura hawakuzidi 8 million hizi takwimu mnapata wapi za wanachama millioni kumi..
 
Sababu ni magufuli kutoa tamko la kukataza uagizwaji wa sukari kutoka nje??? Sasa huyo ndo anafaa kuwa kiongozi au ni takataka???
Jipime kwanza kama akili ni ya mtu mzima au chekechea kutoa jibu hilo likishia na dharau. Shame upon youm
 
Kama kigezo ni kujaza watu ndio ushindi, basi, Magufuli ni mshindi wa Kura mara nne zaidi ya mpinzani wake mkuu
 
Mpaka muda huu, bado sjaona kigezo chochote wanachotumia Chadema kusema eti kitashinda
 
Pamoja na yote,kwa kile ninachokiona kwa Lisu,kila kitu kiko kwake na sion chama.
Ukimsikiliza ni kuhusu kinamhusu yeye tu.
Amepigwa risasi yeye.
Ana kesi sita kisutu yeye.
mahakama ya kisutu ni ya kihistoria
Mwl Nyerere alifikishwa mahakama ya Kisutu akishitakiwa kwa uchochezi
Lissu amashitakiwa kwa uchochezi katika mahakama ya Kisutu
Hii hali ya yeye kujilinganisha na Nyerere au kupitia njia ya Nyerere,inashangaza.
 
Kampeni zake zinachosha Sana kusikiliza,
 
JPM hajui kujenga hoja, hana sera mpya hajui kuomba kura kulingana nawakati hana washauri kwa 70% JPM hawezi kushida hu uchaguzi, wind of change has arrived in Tz kubali au kataa yetu macho.
Magufuli ana siasa za kutenda sio siasa za maneno sasa wewe endelea kufurahia maneno matupu watanzania wanataka vitendo
 
ila anasahau kuwa nyerere hakuwai kuwa kibaraka wa wazungu
 
JPM hajui kujenga hoja, hana sera mpya hajui kuomba kura kulingana nawakati hana washauri kwa 70% JPM hawezi kushida hu uchaguzi, wind of change has arrived in Tz kubali au kataa yetu macho.
Halafu ndiye atakayepewa Nchi kuiongoza tena na wananchi waliowengi ukiwaondoa wachache hasa wanaoishi Mitandaoni!
 
Maisha magumu ya makundi yote ya wapiga kura:

1. Wafanyakazi
2. Wafanyabiashara
3. Wahitimu wa vyuo vikuu
4.Wakulima
5. Wafugaji
6. nk
 
Pia sera zake zina mashiko sana kwa hayo makundi yake yote.

Lakini pia hata makada, wahanga wa awamu ya 5 watampigia kura.
 
Waache wajidanganye wapinzani wanashindw akutumia mbongo zao jmn... Watanzania tukisikia mlio tunaenda hukohuko kuangalia hata tukisikia kuna mchawi kakamatwa tunaenda kuangalia sasa kama alidhanu watu wanaenda kisa wanampenda pole yake hatapata kura watu wanaenda kuangalia kama kwel anaonekana alipigwa risasi maan anajifanya victim anawafanya watanzania wamuonee huruma hivi hajui tulivyo wajumbe au anasikia au kaka nchi za kigeni katusahau.
 
Kwani CCM imewahi kushinda zaidi ya hili mbeleko la chuma a.k.a tume ya ccm a.k.a wapiga kampeni wa ccm tunalo liona wazi wazi
Hapa inabidi mseme ni kwa njia zipi mtatumia kushinda
Mfano: Ccm inawanachama 14.million na wapiga kura ni milioni 29 sasa . kwahiyo tayari tunakula 14m kabla ya kampeni .
Je chadema mmnatumia kigezo gani ?
 

mshindi mmoja tu......hata kwa penati au bao la mkono
 
View attachment 1583851

Wapiga kura wa CCM wakielekea samora

CCM inakatisha masomo wanafunzi na kuwavalisha hayo majezi ya kijani
Hao ni wapiga kura ni
wanahamasa na ni vijana ambao wanajaki ya kwenda kusikila kinacho nadiwa kwa maslahi mapana ya faida yao kama kizazi konachofata kumuka wapiga kura ni million 29 na kati ya hao 15million ni vijana.
 
Hapa inabidi mseme ni kwa njia zipi mtatumia kushinda
Mfano: Ccm inawanachama 14.million na wapiga kura ni milioni 29 sasa . kwahiyo tayari tunakula 14m kabla ya kampeni .
Je chadema mmnatumia kigezo gani ?
Mkuu, wakikupa jibu, njoo nitakutupia vocha ya 100/ ya Mia moja tu, Kwa sababu najua pia wewe Huna uhitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…