Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wenyewe wanajua hicho ndio kitakachowaangusha, lakini ukiwaambia wanasema eti "safari hii watapata kura nyingi sana kutoka kwa wana CCM waliomchoka JPM" sijui wanatumia vigezo gani kujua kuwa wana CCM wamemchoka MagufuliMkuu umemaliza yote!
Kuna jamaa mmoja yuko humu anatumia ID ya tindo, yeye huwa anahoja sana ila siku ile selikali imetangaza siku za watu kwenda kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura yeye alikuwa anakejeli na kupinga kwamba huo ni ujinga kwenda kupoteza muda huko.
. Kuna siku Mbowe alisema chadema nendeni kuboresha taarifa zenu, huyu jamaa akamkejeli Mbowe kwamba wataenda wajinga ila wenye akili hawana huo muda. Cha ajabu sana leo nae anashangilia Lisu atashinda.
Hawakujaza fomu Sawa na ilivyotakiwa ukilinganisha na wenzao ambapo kabla ya kuijaza fomu, CCM huandaa semina kuhusu kujaza fomu, ama kutumia usaidizi wa wanasheria wa Chama Chao kujaza fomu za uchaguziCDM imetumia kigezo kipi kuwaengua wagombea zaidi ya 1000 wa Udiwani??
Wapinzani nqwaonea huruma wanafikiri nchi hii watapata kwa kura zao poleni SanaSisi "wavivu" tuna jambo letu oktoba 28. Kura zoooote kwa Lissu.
Si kila aliyemwana-CCM basi atakipigia kura chama chake (CCM). Wengine ni wana-CCM lakini kura zao kwa wapinzani.Mkuu, asante Kwa swali zuri, Ingawa si kila mtu akitoa mchango unaoegama upanda wa Chama Fulani basi anakuwa ni wa Chama hicho
Wengine ni wafuasi wa mtu makini, watu wengine wanaamini mabadiliko katika mtu makini na mwenye Nia ya dhati, mtu makini aweza Kutokea Chama chochote, sasa Usiwe na muono wa jumla
Jibu la swali lako mkuu ni kwamba, CCM wanasema, inawachama zaidi ya m.14 mpaka sasa, ikiwa ni hivyo, labda uchukulie kwamba, Kati ya hao 14m ambao wamejandikisha ni 10m
Na idadi ya waliojiandikisha ni m29+ kupiga Kura nchi nzima, sasa ukitoa idadi ya wanachama wa CCM, unaona kunabakia idadi ya 19m+
Kati ya hao, CCM ipate tu watu wapiga Kura watakayoipigia kutoka idadi hiyo kama m7 kando na wapiga Kura wanachama wa CCM ambao ni uhakika, huoni kwamba tayari itakuwa na Kura M.17 na Vyama vingine vikibakiwa na idadi ya wapiga Kura 12m+ na hapo bado kuna wale ambao hawatapiga Kura Kwa sababu za hapa na pale mkuu,
Je ninyi, mnstumia Hesabu na kigezo kipi mkuu kujiaminisha kuwa mtashinda?
Mama Samia, waziri mkuu wanajaza hata kuliko Lissu. JPM ndio balaa, watu mpaka wanataka kubebena vichwani. Mbowe, chama chako bado hakijaiva aisee.Unajua mkuu, najitahidi sana kufuatilia Kampeni hizi, mwitikio wa watu, ukipima vizuri ukaondoa mihemko ya ushabiki wa vyama, utagundua kabisa, hata mwitikio wa watu Kwa mgombea Uraisi Chadema, unafanana Tu na mwitikio wa watu kwenye mikutano anayoendesha waziri mkuu
2015, watu walilala mpaka nje, walideki barabara, ili kipenzi chao lowasa apite na bado mliambulia upepo na kuzungusha kote mikono kule. Watanzania watawapa fundisho la karne mpaka vichwa vyenu vizime data. JPM tano tena.Wanakwambia"watu wamelala barabarani ili Lissu asimame aongee wamsikie, kweli Lissu ni Rais", yani kwa watu kulala barabarani basi ndo kigezo cha Lissu kushinda urais.Chadema ndo matahira kweRi kweRi.
Shetani ni baba wa uwongo..14+ watoke wapi..wanatengeneza njia ya kuiba kura..pita mtaani waulize vijana kumi utapata jibuMoja kwa moja hojani,
Kwa mjibu wa website ya CCM, na Kwa mjibu wa kauli ya mwenezi wa CCM ndugu Hamphuley Polepole, CCM inawanachama wa kudumu M.14+
Na kikawaida, ili uwe mwanachama wa Chama chochote, maana yake uwe umefikia umri wa miaka 18+
Na kwa idaadi ya waliojiandikisha kupiga Kura nchi nzima ni M.29+
Kama ndio hivyo, maana yake CCM, Kati ya wapiga Kura M.29+ CCm inamtaji wa nusu ya wapigakura wote ikiwa wote watakuwa wamejandikisha na kuipigia Kura CCM siku ya uchaguzi
Sasa basi, Ni Kwa namna Ipi Chadema wataishinda CCM?
Let go...
Mada hii imejikita kutaka kujua ni kwa kigezo kipi Chama cha Chadema kinatumia hadi washabiki na wanachama wake hasa mitandaoni kusema eti kitashinda?
Je, ni kwa sababu ya mwitikio wa watu kwenye Kampeni za mgombea wa Chama chao?
Je, ni kwa sababu ya kuhesabu uwingi wa washabiki na wachangiaji kupitia Mitandao ya kijamii?
Je, ni kwa sababu mgombea wa Chama hicho anajua sana sheria?
Je, ni kwa sababu mgombea wake anafahamiana na kujulikana na viongozi wa mataifa mengi duniani
Ni kwa sababu zipi haswa hawa Chadema kujiaminisha kuwa watashinda uchaguzi huu?
Kama ni Kwa sababu ya watu wengi kujaa katika mikutano yake, mbona hata haifikii uwingi wa watu wa mgombea na mpinzani wake Kutokea CCM?
Mbona Mikutano yake na jinsi watu inavyo jaa, ni kama Tu Ile mikutano anayoifanya waziri mkuu Majaliwa?
Mitaani watu wengi ukiwahoji, wanasema kwamba, Mgombea uriais kupitia Chadema, atashindana, lakini kushinda atashinda wa CCM
Nimalizie kwa kuuliza, je, ni kwa kigezo kipi kinachowapa wanachadema waseme Chama Chao kitamwangusha Magufuli?
Kigezo wanachotumia ni kile cha kawaida cha ubinadamu - KUJIPA MOYO NA MATUMAINI!Moja kwa moja hojani,

Utafit mkubwa ushafanywa we subir October 28 ndo utajuaUnatumia kigezo gani kutoa hitimisho Hilo??
Majibu October 28Research umefanya wapi kwamba CCM wamejiandikisha mimi naenda na napigia kura CHADEMA asubuhi na mapema
Mkuu, Embu Twende tu kimahesabu ya kawaida kabisa ya darasa la SabaResearch umefanya wapi kwamba CCM wamejiandikisha mimi naenda na napigia kura CHADEMA asubuhi na mapema
Yani kabisa unamsikiliza huyo polepole aka alsahaf wa cxm?Moja kwa moja hojani,