Uchaguzi 2020 Embu tuambizane ukweli, CHADEMA inatumia kigezo gani kusema itashinda?

hiki hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: BAK
Ukweli upi ambao huufahamu!? Mbona chakubanga wa pole pole ukweli anaujua na aliuweka hadharani!?


 
JPM hajui kujenga hoja, hana sera mpya hajui kuomba kura kulingana nawakati hana washauri kwa 70% JPM hawezi kushida hu uchaguzi, wind of change has arrived in Tz kubali au kataa yetu macho.
Kujenga hoja ni kipaji, Magu hana uwezo Huo, wewe huoni Pole pole anavyotoa hoja za kijinga eti majaliwa ni mjumbe wa kamati kuu, mwenzake Lissu amemjibu huko ratiba ya wajumbe wa kamati kuu hutolewa na nani, kwa sababu tume imetoa ratiba ya rais na makamu
 
 
Kukazania tumeichoka CCM bila kigezo au sababu za msingi ni utaahira. Usilazimisha wenzako kuwa utashi wako.
 
Na pia tuambizane ukweli CCM inatumia kigezo gani kusema itashinda kwa asilimia 80%? Tunatakiwa tuyajibu maswali haya bila kujoa ufahamu
 
akili za wapi hizi. kwa hiyo ulitegemea wasemaje...tutashindwaaaa?!Yanga pamoja na kiwango duni ikikutana na Simba inaahidi ushindi,sembuse chupa kama Lissu?
 
Wanasumbuliwa na MIHEMKO tuu, wasubirie waone jinsi CCM inavyoshinda kwa kishindo.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Moja kwa moja hojani,

Mada hii imejikita kutaka kujua ni kwa kigezo kipi Chama cha Chadema kinatumia hadi washabiki na wanachama wake hasa mitandaoni kusema eti kitashinda?...
Kigezo ni Uhuru,haki na maendeleo Kama sera pendwa kwa Watanzania wapenda haki.
 
Mada hii imejikita kutaka kujua ni kwa kigezo kipi Chama cha Chadema kinatumia hadi washabiki na wanachama wake hasa mitandaoni kusema eti kitashinda?
Magufuli?
Tuwaulize pia ninyi CCM (Magamba), Mmetumia kigezo kipi kujua kwamba mnakwenda kushinda kwa zaidi ya 86%? - imekuwa ikitamkwa mara kadhaa na Bashiru na Polepole (Ili rekodi ya JK ivunjwe kwa lazima - na sasa dalili zinaanza kujionyesha kwamba tupende tusipende Magufuli lazima atangazwe kwa ushindi wa zaidi ya 86% mkisadiana na tume ya uchaguzi).
 
Hata aliyepo madarakani hajui ila ni surprise
 
Wanakwambia"watu wamelala barabarani ili Lissu asimame aongee wamsikie, kweli Lissu ni Rais", yani kwa watu kulala barabarani basi ndo kigezo cha Lissu kushinda urais.Chadema ndo matahira kweRi kweRi.
Matusi hayajengi CCM na Humphrey nmepanic
 
Mkuu, asante Kwa swali zuri, Ingawa si kila mtu akitoa mchango unaoegama upanda wa Chama Fulani basi anakuwa ni wa Chama hicho

Wengine ni wafuasi wa mtu makini, watu wengine wanaamini mabadiliko katika mtu makini na mwenye Nia ya dhati, mtu makini aweza Kutokea Chama chochote, sasa Usiwe na muono wa jumla

Jibu la swali lako mkuu ni kwamba, CCM wanasema, inawachama zaidi ya m.14 mpaka sasa, ikiwa ni hivyo, labda uchukulie kwamba, Kati ya hao 14m ambao wamejandikisha ni 10m

Na idadi ya waliojiandikisha ni m29+ kupiga Kura nchi nzima, sasa ukitoa idadi ya wanachama wa CCM, unaona kunabakia idadi ya 19m+

Kati ya hao, CCM ipate tu watu wapiga Kura watakayoipigia kutoka idadi hiyo kama m7 kando na wapiga Kura wanachama wa CCM ambao ni uhakika, huoni kwamba tayari itakuwa na Kura M.17 na Vyama vingine vikibakiwa na idadi ya wapiga Kura 12m+ na hapo bado kuna wale ambao hawatapiga Kura Kwa sababu za hapa na pale mkuu,

Je ninyi, mnstumia Hesabu na kigezo kipi mkuu kujiaminisha kuwa mtashinda?
 
Wanakwambia"watu wamelala barabarani ili Lissu asimame aongee wamsikie, kweli Lissu ni Rais", yani kwa watu kulala barabarani basi ndo kigezo cha Lissu kushinda urais.Chadema ndo matahira kweRi kweRi.

Wapumbavu wengi sana nchiiii...
Ccm has made the country poorer and created a high number of unemployed people in this country in the last five years. Imagine the next five years how will it be worse than this . This I promise you things will be terrible, many people will lose their lives, unemployment will be higher, hakuna investors who will be coming to this country...we shall be chasing Zimbabwe as a rogue state.... Shauri yenu...
 
Saa zingine tumia akili ...Kumbuka Account ya Lisu haikuwa active kama ya Magufuli.

Lisu alivyorudi acc yake ilikuwa na watu elfu 25 tu.toka amerudi na iko active followers wameongozeka kwa 75% .

Magufuli yuko palepale.ikiwa mna wanachama milion 16 kwa nini msifolow Rais wenu na Mwenyekit wenu angalau mmfikishie 1milion.bado jamaa hapendwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…