Embu tuchat wawili wawili humu

Niletee basi, au hufanyi delivery?
Hata kama ningekua sifanyi delivery basi ningeanza huu utaratibu leo kwa ajili yako,

Pilipili unataka ile yakusikilizia kwa mabali au kwa karibu? delivery nilete mimi au nimtume kijana wangu?
Pls nipe jibu kabla mahindi hayajaanza kupoa kwa baridi la hapa.
 
Binti Kiziwi hujaona huu uzi jamani.
Tangu unidanganye juzi umeamua kupotea mzima😊😊😊😊
Mheshimiwa na wewe upo Jamhuri ukizindua "matokeo" ya sensa? Nimekua interested kufahamu kazi umezikaimisha kwa nani, wewe ukiwa huku unachat?

Baada ya hapo ndio tuchat... unaweza kujibu hapa au kule.
 
Napenda sana pilipili kwahiyo usinipunje weka ya kutosha.
Uniletee nakusibiri ujue...kuna coke baridi hapa isije poa.
Seriously...NJOO now.
 
Mheshimiwa na wewe upo Jamhuri ukizindua "matokeo" ya sensa? Nimekua interested kufahamu kazi umezikaimisha kwa nani, wewe ukiwa huku unachat?

Baada ya hapo ndio tuchat... unaweza kujibu hapa au kule.
Nakiri kupokea ujumbe wa Mama. Sema nauli ya kufika huko ndiyo sina na sms haisemi kama kuna perdiemπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Niko huku huku boss wangu. Bila shaka wewe umeshilia bendera hapa
 
Nakiri kupokea ujumbe wa Mama. Sema nauli ya kufika huko ndiyo sina na sms haisemi kama kuna perdiemπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Niko huku huku boss wangu. Bila shaka wewe umeshilia bendera hapa
nachojua tu Jua ni kali mno πŸ˜€ Jioni nipigie au nitext wasapu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…