Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

Alieunda msingi na anaetumia msingi yupi bora.Tupack no all time rapper kana Pele all time football prayer japo Luna CR7 Mess. Mwanzilishi ni mwanzilishi tu.Waliofuata wanajifunza kutoka kwa makungwi.
Sikupingi boss, ni mtazamo wako.
Kwangu mimi, hakuna na hakujawahi kuwepo mpiga kandanda bora duniani kama Messi.
Hakuna na hakujawahi kuwepo mwana HIP HOP bora duniani kama Eminem.
Sijui kuhusu sayari zingine.
 
Habari yako Kafiri!!
Na wewe unamkubali Eminem?
Kuliko hata Joyner Lucas? Kuliko hata Kendrick?
Kumkubali msanii fulani haimaanishi yeye ni bora kuliko wasanii wengine.
Mimi nawakubali zaidi Old Kanye West na J.Cole, lakini namtambua Eminem kama mwana Hip Hop bora wa muda wote.
 

..And Murder Inc. will send they deepest condolences and sympathies
To Aftermath and Shady, Interscope and Jimmy lovine... Loose Change... Ja Rule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…