Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
Huyu jamaa atakuwa na matatizo usibishane naeAlieunda msingi na anaetumia msingi yupi bora.Tupack no all time rapper kana Pele all time football prayer japo Luna CR7 Mess. Mwanzilishi ni mwanzilishi tu.Waliofuata wanajifunza kutoka kwa makungwi.
Napenda vitu vya ukweli ndo maana. Nilimpenda eminem toka kitambo japo nilikua sijui anaimba nini lakini jinsi anavyopangilia mistari yake na kuimba kwa hisia nilipenda sanaaaa na ndio msaanii wa wa Rap wa kimarekani namzimikia.Doh.
Wewe sio mwanamke wa kawaida.
Samahani mkuu hapa umemaanisha Pitbull nae ni rapper!๐๐๐Kwanini asibebwe Pitbull?
Kweli eminem yupo vizuri lakini 2pac unazungumzia anga nyingine kabisaNna uhakika hata 2Pac haingizi mguu kwa Eminem๐ถ๐ถ
๐๐Rapa naeSamahani mkuu hapa umemaanisha Pitbull nae ni rapper!๐๐๐
nilitaka kushangaa dada daudi usiniquote!Shabiki wa meja kunta hujui hata kiingereza Cha kuombea maji utamuelewa slim shady Kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee.Huyu jamaa atakuwa na matatizo usibishane nae
Kamwe hamuwezi kuwa sawa kimtazamo kila mtu na mtazamo wakeAisee.
Binadamu bhana!
Yaani nina "matatizo" kwasababu ya kutofautiana "mtazamo" na wewe Mr Okoth P Bitek wa Jamii Forums.
So, ili niwe "mkamilifu" ni lazima nifanane "mtazamo" na wewe.
Yaani "mtazamo" wako wewe ndio "SI Unit" ya "Utimamu/Ukamilifu" wa mtu humu Jamii Forums!
Seriously?
Jamaa anaamini mtu ambaye hafanani naye mtazamo ana "matatizo".Kamwe hamuwezi kuwa sawa kimtazamo kila mtu na mtazamo wake
Asingewezaaa
Hate me now~ Eminem ni mkali,Ila Mimi namkubali sana Nasir odara Jones ndio mwanahiphop au Mร wangu Wa muda wote.
Eminem anaweza.