Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

Hoja isiyopingika, kifo cha PAC ni kikubwa kuliko mziki wake........
 
2 PAC
Big
Jay z
.
.
.
.
Malizieni mnaowajua ila tatu bora ndio hiyo
 
Pac big jay Z nas scoba hawa GOAT

Eminem TIP Kanye the game wanafatia
 
Una uhakika?
 
hata hizo verse hawezi kurap live vile, yani hili la eminem ku fake mbona linajulikana? ana nyimbo kibao anarap upesi upesi na haingizwi kwenye guiness? kuna screenshot nyingi tu zipo mitandaoni watu tofauti tofauti wa audio wanaonyesha anavyospeed, pia zipo live show anaonesha akivuta pumzi kuna jamaa wake anaitwa porter humsaidia akiishiwa pumzi.

kumaliza huu ubishi nakupa live jamaa ambaye yupo nyuma ya eminem akielezea wanavyofanya, shuka chini hadi utakuta hii sentesi

"The bridge vocals were overdubbed six times. We didn't use Auto‑Tune or anything like that: Em also gets his singing parts down quickly and accurately."

for the sake of discussion tumuamini huyo jamaa hawakutumia Autotune, ila wame dub sauti mara sita, unaimba mara ya kwanza, unarudia mara pili mpaka sita, then kuna namna wanamix ndio inatokea sauti ile nzuri unayoisikia na kuipenda (sauti fake ambayo real life hawezi kui produce)

source hapa

hivyo mkuu asilimia 99 ya wanamuziki wa sasa ni fake, nyimbo nyingi ni studio effect na vile wanavyoimba hawawezi kuviimba live, tofauti na hao ma legend kina RAKIM, 2pac etc
 
Mkuu kwani anayeshikilia rekodi ya guiness ni nani?
Ina maana Guiness wamedanganywa nao wamekubali? Wanamuweka mtu anayetumia mashine...
Navyofahamu kabla ya Godlzilla, Rap God ndio ilikuwa inashikilia rekodi ya dunia....
 
comment yangu ya juu kuhusu kurap haraka na kutoingia guiness record exactly nilimaanishia speedom. speedom ina herufi 12.5 kwa sekunde na godzilla 12.6, speedom imetoka katikati baina rap god na godzilla sio? pia imeipita hio ya nick minaji, kwanini haikutambulika na Guiness?

na unazungumziaje suala la kudub sauti, ushahidi toka kwa engineer wake wa sauti?
 
Wanadub sauti kwa malengo gani?....
Kuna mtu juu hapo alikwambia ni part zile za kuimba....
Kama ni rekodi ya dunia ya kurap fasta.. EM ndio anaishikilia....
Lakini kurap fasta ni moja kati ya vitu vichache vilivyonivutia.
 
Wanadub sauti kwa malengo gani?....
Kuna mtu juu hapo alikwambia ni part zile za kuimba....
Kama ni rekodi ya dunia ya kurap fasta.. EM ndio anaishikilia....
Lakini kurap fasta ni moja kati ya vitu vichache vilivyonivutia.
ku produce sauti tofauti, mfano not afraid nilioitaja juu (sio chorus ile sauti kabisa ya kurap), na unakubaliana na mtoa mada Eminem ni great of all time?
 
ku produce sauti tofauti, mfano not afraid nilioitaja juu (sio chorus ile sauti kabisa ya kurap), na unakubaliana na mtoa mada Eminem ni great of all time?
Naona umeshikilia hio not afraid mpaka basi aisee 😂😂 nimekuwekea hapo live show ya loose yourself, cheki mambo hapo, waweza kucheki na shows za lighters alofanya na bruno mars, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…