Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Subiri Chadema "kama" wakiingia madarakani ndio uwaambie wafanye hivyo. Kwa Serikali ya CCM ambayo ni makini haiwezi kufanya hivyo.Nini mandate ya BOT?,hiki chombo kitakua muhimu kama kitaendeshwa bila ya urasimu wa serikali, serikali ijiondoe kabisa katika uendeshaji wa BOT, wakiwa huru wapewe jukumu kubwa la kulinda sarafu yetu ili thamani yake against major world currencies iwe kubwa
QatarAcha kujikosha, tofauti ipo na inaonekana na wewe umeiona ndo maana umeenda mbali katika kujikosha kwa kujaribu kutoa tafsiri yako ya "civilized society".
Sasa kwa tafsiri yako hiyo ya civilized society, je hiyo civilized society isiyokuwa na wezi, isiyokuwa na wavivu, isiyokuwa na mihadarati, na yenye watu wanaofuata sheria za nchi yao kikamilifu iko nchi gani hapa duniani?
Kauli Haina afyaHizi teuzi zinaweza kukupa chuki dhidi ya watawala..Keki ya taifa ni kwa ajili ya wachache mno.
Ndo uende huko basi ukaishi na kumsifia Mkuu wao wa nchi.Qatar
Mfia diniHali ya kisiasa duniani ilipelekea sana uchumi kuyumba, pia Nyerere aliharibu sana uchumu, akamwachia zigo la Misumari mzee wa watu, ndio akapambana kuanzishwa kwa TRA na Mashirika mengine muhimu kabla ya Mkapa kuja kuyajengea uwezo
Unamjua Dr.Idris Rashid?? Alikaa vipindi viwili?Jamaa kaweka rekodi ya kutumia kipindi kimoja tu madarakani. Watanguliz waliaminiwa vipindi viwili
Humu kwa sasa limeibuka kundi la wafia dini, huyo ni mmoja waoAcha urongo. Mwinyi alikuwa hakusanyi kodi mpaka Nyerere alimchamba kwa suala hilo la kutokukusanya kodi.
TRA alianzisha Mkapa.
Enzi za Mwinyi kulikuwa na idara ya mapato tu katika wizara ya fedha.
Mwinyi ndo aliivuruga hii nchi. Hata katika suala muhimu sana la mipangomiji ilivurugika wakati wa Mwinyi ndo jiji la Dar likaanza kujengwa holelaholela na kuvurugika kama unavyoliona leo. Kulinyoosha tena liwe kama mji wa watu wenye akili ni ngumu sana kwa sasa.
Wewe una tatizo la akili. Noti ya 10000 ilianza mwaka 1992. Au mkapa alikuwa raisi 92??Noti ya 10,000 imeanza kutumika wakati wa MKAPA.
Huyo ni mfia dini, Wala usimshangae. Hajui hata noti ya 10000 kama ilianza 1992. Anasema ilianza wakati wa mkapa, ili mradi tu akwambie mwinyi alikua bora kuliko mkapa.Kumbe wewe ni bwa mdogo chaubishi, halafu unatutukana wakubwa zako.
Elfu kumi ya kwanza ni hii hapa dogo, angalia sura hiyo kama unaijua:
View attachment 2472643
Halafu Mkapa aliposhika hatamu ndo akaleta busara nzuri ya kuachana na utamaduni wa kuuza sura kwenye noti akaleta elfu kumi ya twiga:
View attachment 2472645
Kama umewahi kumsikia mtu anayeitwa Mr. Bluu ubluu wake ulikuwa ni kwa yeye kujifananisha na hizi noti za mwanzoni za elfu kumi (yaani kwamba yeye ndo alikuwa anajiona yuko juu kama Tshs. elfu kumi.)
1992???? We jamaa una matatizo ya Akili.Huyo ni mfia dini, Wala usimshangae. Hajui hata noti ya 10000 kama ilianza 1992. Anasema ilianza wakati wa mkapa, ili mradi tu akwambie mwinyi alikua bora kuliko mkapa.
Huwa sijui Wana akili za aina gani
huyu gavani ameteuliwa kwa mapenzi ya Makamu wa rais, siamini kama ana vigezo zaidi kuweza kuhudumu kama Governor.Moja kati ya kazi kubwa za BOT ni utafiti, ndio maana imekuwa tradition miaka ya hivi karibuni imekuwa kawaida kuongozwa na mtu ambaye amepita kwenye phd level. Anyways, tumuombe heri na mafanikioView attachment 2472957
Mtuwekeepo cv zao basi..tujue pia wa kanda ya ziwa ni wangapi kwenye hizi teuzi za huyu mama
Kateuliwa nani
source : afdbgroup Annual Meetings 2022: Governor Statement, Tanzania 19 July 2022
Una wazo ya kihanarakati ila ni sawa ni stahiki yako.Nini mandate ya BOT?,hiki chombo kitakua muhimu kama kitaendeshwa bila ya urasimu wa serikali, serikali ijiondoe kabisa katika uendeshaji wa BOT, wakiwa huru wapewe jukumu kubwa la kulinda sarafu yetu ili thamani yake against major world currencies iwe kubwa
No hard feelings kutoka kwenye quote yako, hili ni tatizo la kielimu kwa nchi yetu, politicians walikuja na UPE, then wakawa motivate mzaane kwa wingi then sekondari za kayumba, matokeo yake ndio hii generation yenye ufikiri butu, matokeo yake itakua ni families zile zile zitakazo Pata a lion share ya pie ya taifa, welcome huku lingusenguse ujionee a real life ya mtanzania wa lower classUna wazo ya kihanarakati ila ni sawa ni stahiki yako.
60yrs ya utawala wa ccm hadi leo unapigana na viajira uchwara, wenzetu wapo kwenye programming &coding sisi bado unafundishwa kukariri lini Dr.David Livingstone aliingia lini Tanganyika!Subiri Chadema "kama" wakiingia madarakani ndio uwaambie wafanye hivyo. Kwa Serikali ya CCM ambayo ni makini haiwezi kufanya hivyo.
Huyo Mwamba Tangu Enzi Ya Jiwe Ameserereka Na Vyeo Mpaka Sasa Anakwenda Kileleni Kabisa Akingoja Mmaa Anywe TuHizi teuzi zinaweza kukupa chuki dhidi ya watawala..Keki ya taifa ni kwa ajili ya wachache mno.
Pls name me one socialist country iliyofanikuwa kuinua uchumi wa nchi yake,60yrs ya utawala wa ccm nyumba yenu haina physical address, huna hata life book means nchi ni choo, unaingia na kutoka unavyotakaBado upeo wako unatia mashaka sana. Tatizo shuleni mlifundishwa 'Colonial Legacy' wakaacha 'Ujamaa Legacy" ndio upeo unadumaa sana.
Hakunaga 'Independent Departments' ktk 'Nchi zenye asili ya Kijamaa kuna kitu inaitwa 'Direct Control of State'.
It is ok, but are you suggesting that lack of functional independence of BOT arises from the background of the manner of the appointment of its governor? And further that if the governor could be appointed by the bishops and the sheikhs, it will automatically strengthen our "weak" currency? Real?No hard feelings kutoka kwenye quote yako, hili ni tatizo la kielimu kwa nchi yetu, politicians walikuja na UPE, then wakawa motivate mzaane kwa wingi then sekondari za kayumba, matokeo yake ndio hii generation yenye ufikiri butu, matokeo yake itakua ni families zile zile zitakazo Pata a lion share ya pie ya taifa, welcome huku lingusenguse ujionee a real life ya mtanzania wa lower class
WhatUwaache wenyewe bila usimamizi ili money laundry ishike hatamu.
Hizi nchi zetu huwezi kucha taasis km BOT ijiachie utavuna mabua.
Totally u got me wrong, pls always try to read to understood, Board of Directors of BOT will be the one to recommend few names to President to pick the Governor, who will be running the BOT (keep in mind Government will hold a major shareholder ,51%)It is ok, but are you suggesting that lack of functional independence of BOT arises from the background of the manner of the appointment of its governor? And further that if the governor could be appointed by the bishops and the sheikhs, it will automatically strengthen our "weak" currency? Real?