Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Umri wake pia ni mkubwa huyo mzee.Luoga kakaa muda mfupi miaka 5
Tutuba anauwezo wa kukaa miaka 10
Ilikua obvious kwamba huyu mama angemtolea nje Luoga kwenye kumuongezea muda wa miaka 5 zaidi.
Acha kampumzike alee wajukuu.