Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Umri wake pia ni mkubwa huyo mzee.Luoga kakaa muda mfupi miaka 5
Tutuba anauwezo wa kukaa miaka 10
Walamba asali mkuu.Magufuli hakua mjinga kumtoa Dada Natu mwamba pale BOT ...... Leo anarudi Tena kama mlipaji mkuu wa serikali ..... Mama anaupiga mwingi
Nadhani unaweza kubuni nani katoa hii comment😂. Angalia hii '...kijana kuwa na shukurani'Hata kwenye Harusi keki huwa hamli wote, keki ya taifa ni ndogo sana kijana, kuwa na shukrani.
Kwahiyo kila alichofanya Magufuli ndio kilikuwa sahihi!Magufuli hakua mjinga kumtoa Dada Natu mwamba pale BOT ...... Leo anarudi Tena kama mlipaji mkuu wa serikali ..... Mama anaupiga mwingi
Natu ana shida gani? Namfahamu Kama Mwalimu wangu wa Microeconomics UdsmMagufuli hakua mjinga kumtoa Dada Natu mwamba pale BOT ...... Leo anarudi Tena kama mlipaji mkuu wa serikali ..... Mama anaupiga mwingi
Kwamba iwe kama FRB?Nini mandate ya BOT?,hiki chombo kitakua muhimu kama kitaendeshwa bila ya urasimu wa serikali, serikali ijiondoe kabisa katika uendeshaji WA BOT, wakiwa huru wapewe jukumu kubwa la kulinda sarafu yetu ili thamani yake against major world currencies iwe kubwa
kateuliwa leo na leoleo ameshakuwa bora. fanaleki.Bora tutuba kuliko luoga.
Harafu Bashe awe Nani? Si Bora amtoe Simbachawene amuweke Mwigulu Kama kimtumbua hawawezi?Kuna kila dalili Waziri wa Fedha akateuliwa kuwa Waziri wa Kilimo
Kwa ajili ya wachache kivipi wakati wewe share yako unajengewa shule, zahanati, barabara, ulinzi na usalama n.k?Hizi teuzi zinaweza kukupa chuki dhidi ya watawala..Keki ya taifa ni kwa ajili ya wachache mno.
Alisikika mtu mmoja mwenye busara!Hata kwenye Harusi keki huwa hamli wote, keki ya taifa ni ndogo sana kijana, kuwa na shukrani.
Le mutuz, Boma Yeeee, U know amekulia kwenye mboga saba....Nsdhani unaweza kubuni nani katoa hii comment😂. Angalia hii '...kijana kuwa na shukurani'
Unadhani nani katoa hii comment🤔.. ukiacha jina lake la jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Keki ya kula watu milioni 60 sio mchezo kuigawanya kwake.Hata kwenye Harusi keki huwa hamli wote, keki ya taifa ni ndogo sana kijana, kuwa na shukrani.