kalikalanje
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 227
- 285
Bado Kassim Majaliwa subirini ngojeni baraza la mawaziri livunjwe naye atemwe ila Samia anatupeleka pabaya japo mnashangilia kila teuzi zikifanyika. Hivi hao mgambo wapo tuu wakiangalia haya??Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo:-
1) Amemteua Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Bw. Tutuba anachukua nafasi ya Prof. Florens Luoga ambaye amemaliza kipindi chake.
2) Aidha, amemteua Dkt. Natu El- Maamry Mwamba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango.
Dkt. Mwamba alikuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Undeshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (KADCO).
Dkt. Mwamba anachukua nafasi ya Bw. Emmanuel M. Tutuba ambaye ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu.
Teuzi hizi zinaanza mara moja.
View attachment 2472348
Ulitaka uteuliwe wewe?
Hivi Gavana wa BoT na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Nani mkubwa wa cheo?
Wengi Sana wameteuliwa hasa kipindi Cha JK na Mwendazake.Inaelekea ukiwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dsm ni tiketi ya kupata teuzi za kiserikali.
Kuna kitu tawala zetu kinajenga au kinabomoa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Keki ya kula watu milioni 60 sio mchezo kuigawanya kwake.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Nimejifunza kitu hapaGavana wa benk kuu cheo kikubwa sana
Katibu mkuu haingii kwa gavana kivyovyote
Una matatizo ya akili wewe,kwani huyo Kasim atakuwa PM wa kwanza Kupigwa chini?Bado Kassim Majaliwa subirini ngojeni baraza la mawaziri livunjwe naye atemwe ila Samia anatupeleka pabaya japo mnashangilia kila teuzi zikifanyika. Hivi hao mgambo wapo tuu wakiangalia haya??
Yule jambazi wa maduka ya pesa za kugeni kule Arusha yametimia? Mungu ni mwema.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo:-
1) Amemteua Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Bw. Tutuba anachukua nafasi ya Prof. Florens Luoga ambaye amemaliza kipindi chake.
2) Aidha, amemteua Dkt. Natu El- Maamry Mwamba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango.
Dkt. Mwamba alikuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Undeshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (KADCO).
Dkt. Mwamba anachukua nafasi ya Bw. Emmanuel M. Tutuba ambaye ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu.
Teuzi hizi zinaanza mara moja.
View attachment 2472348
Bora professor wa makinikia kaondoka zake, ujinga mtupu teuzi za MaguRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo:-
1) Amemteua Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Bw. Tutuba anachukua nafasi ya Prof. Florens Luoga ambaye amemaliza kipindi chake.
2) Aidha, amemteua Dkt. Natu El- Maamry Mwamba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango.
Dkt. Mwamba alikuwa Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Undeshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (KADCO).
Dkt. Mwamba anachukua nafasi ya Bw. Emmanuel M. Tutuba ambaye ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu.
Teuzi hizi zinaanza mara moja.
View attachment 2472348
Hata mimi nashangaa ila BOT ipo chini ya wizara ya fedha ambayo katibu mkuu ndo mtendaji mkuu, sasa inakuwaje mtu atolewe wizarani hadi kuongoza taasisi?Hivi Gavana wa BoT na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Nani mkubwa wa cheo?
Ujinga gani huu. Unafikiri BOT wakiachwa bila kudhibitiwa na serikali ndio watasaidia uchumi wa nchi kama yetu?Nini mandate ya BOT?,hiki chombo kitakua muhimu kama kitaendeshwa bila ya urasimu wa serikali, serikali ijiondoe kabisa katika uendeshaji WA BOT, wakiwa huru wapewe jukumu kubwa la kulinda sarafu yetu ili thamani yake against major world currencies iwe kubwa
Mzee wa professorial rubbish arudi kufundisha UDBora tutuba kuliko luoga.
Hapo cheo kimeshuka Ila kisalario na maripurupu huenda kimepanda.Hata mimi nashangaa ila BOT ipo chini ya wizara ya fedha ambayo katibu mkuu ndo mtendaji mkuu, sasa inakuwaje mtu atolewe wizarani hadi kuongoza taasisi?
Wananchi wangeona positive changes in their lives as a result of the many reshuffles,wangepata faraja,lakini kwa hali ilivyo,teuzi hizi zitabaki kuwa neema kwa wanaoteuliwa.Kivip
Ni nani alitakiwa apate ili kwako uone keki ya taifa imegawiwa kwa usawa?
Ndani ya nchi gavana ni mmoja tu ila Makatibu wa Wizara wapo kibao...Hivi Gavana wa BoT na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Nani mkubwa wa cheo?